Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

Sasa mbona kuna utofauti mkubwa sana ukiangalia mfano Mechi ya Man city na Liverpool kupitia Dstv na ukiangalia mechi hiuo hiyo kupitia Azam, Dstv inaoneka vizur picha nzuri sana, We jaribu kufunga TV mbili na TV moja funga Azam na nyingine funga Dstv na zote weka mechi moja live utaona utofauti kwenye picha ya Uwanjani
Dstv sio Supersport, Supersport anaonyesha kwa 4k, azam anaonyesha nadhani kwa 720HD.

Wote hawa wanaonyesha kwa HD.
 
Kumbe hujasoma nilichokiandika 😂 hatahvy ulichoandika hapo tayari nshakujibu kwenye hy comment.
Narudia tena Azam ni takataka mbele ya dstv hata usemaje ila kwakua unaitumia endelea kuitetea ila ni takataka tu mbele ya dstv 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe kama unatangaza biashara ya Azam kuwa huru mkuu lakini huwezi sema DSTV inaangaliwa na wadada wa uswazi. Hapa si kweli. Uswazi wanaangalia Azam na Startimes kwa sababu ya hizo tamthiliya.

Kuna channel nyingi za kuanglia movie DSTV ni pesa yako tu.
Mkuu ata mimi nimemshangaa anaposema Dstv inaangaliwa Uswahilini huyu atakua hajatembea, yani anatakiwa ajue Azam ndiyo inaangaliwa Uswahili uwezi kwenda Osterbay, Masaki, Mikocheni ukakuta wakazi wake wanatumia Azam, Yani Azami inajulikana na inatumiwa na sehemu zenye wakazi wenye Elimu ndogo na uchumi wachini sana Azam ndiyo furaha yao.
 
Sasa mbona kuna utofauti mkubwa sana ukiangalia mfano Mechi ya Man city na Liverpool kupitia Dstv na ukiangalia mechi hiuo hiyo kupitia Azam, Dstv inaoneka vizur picha nzuri sana, We jaribu kufunga TV mbili na TV moja funga Azam na nyingine funga Dstv na zote weka mechi moja live utaona utofauti kwenye picha ya Uwanjani
Huyo anatetea Azam kwakua ipo kwake anakuambia ni kubwa zaidi ya dstv Kuna watu vituko kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hela ya kuipata hiyo leseni ya kuonesha hizo mechi kutoka kwenye mashindano, na ligi ghali kabisa duniani; wanayo?
Tatizo sio pesa bro nafikiri shida ni kwamba mdhamini mkuu wa EPL na UEFA ni kampuni za pombe

FA , CARABAO CUP, BUNDASILIGA na LA LIGA
hizi zote Azam wanaonyesha Ina maana hizi right zake ndio rahisi kiivyo
 
Mzee DStv huwezi fananisha na hup uchafu wako ulioununua kutoka Azam naona unaitetea sana kisa umenunua azam 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eh kumbe hua unakuja kwangu kupata taarifa mpaka umejua natumia azam 😂

Vp mkuu, bila shaka unachokifata hua nakupa mpaka unafurahi 🔥
 
Tatizo sio pesa bro nafikiri shida ni kwamba mdhamini mkuu wa EPL na UEFA ni kampuni za pombe

FA , CARABAO CUP, BUNDASILIGA na LA LIGA
hizi zote Azam wanaonyesha Ina maana hizi right zake ndio rahisi kiivyo
Kwahiyo akiwa mdhamini wa pombe ndio inamzuia nini Azam
 
Eh kumbe hua unakuja kwangu kupata taarifa mpaka umejua natumia azam 😂

Vp mkuu, bila shaka unachokifata hua nakupa mpaka unafurahi 🔥
Narudia tena hata usemaje Azam ni takataka masikini ndio wanaongozwa kuifunga kwenye nyumba zao Sasa endelea kutetea kwakua unaitumia ila ukweli unaujua🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nikikumbuka mashindano ya kombe la Mataifa Afrika yalifanyikia nchini IVORY COAST mwaka jana kwenye mchezo wa NIGERIA na IVORY COAST ambapo alisikika MTANGAZAJI WA TBC1 akimtaja taja VICTOR BONIFACE kuwa sehemu ya kilichocheza mchezo huo wakati VICTOR hakuwa sehemu ya kikosi cha Nigeria kutokana na majeraha aliyokuwa nayo ninapinga WASWAHILI kupewa kibali cha kuonesha mashindano mengine yoyote ya KIMATAIFA.

KILICHO NIHUDHI ZAIDI NI KWAMBA ALIENDELEA KUTAJI JINA LA VICTOR BONIFACE MPAKA MWISHO WA MCHEZO KIASI KWAMBA IDARA YOOOOOOTE YA MICHEZO HAPO TBC1 HAWAMJUI VICTOR BONIFACE NA HAWAJUI HATA KUSOMA MAJINA YA WACHEZAJI.

NASEMA HIVI WASWAHILI TUSIPEWE KIBALI CHA KUONESHA MASHINDANO YA NJE YA TANGANYIKA.
TENDELEE NA SARAKASI ZA KABUMBU TU.
 
Tatizo sio pesa bro nafikiri shida ni kwamba mdhamini mkuu wa EPL na UEFA ni kampuni za pombe

FA , CARABAO CUP, BUNDASILIGA na LA LIGA
hizi zote Azam wanaonyesha Ina maana hizi right zake ndio rahisi kiivyo
Pombe sio ishu mana Waislamu wana unafiki sana.

Mashindano ya CAF yana matangazo ya kubet na pombe na hayo matangazo ni lazima uyacheze ikiwa unataka kuonyesha mechi za CAF na azam anayaonyesha.
 
Kuna Channel zipo kote Azam zipo na DSTV zipo, mfano kuna ile Channel ya NatGeo ipo kote huikuti Startimes kuna Channel ina vipindi vya yule mzungu wa SA anaekamata nyoka esp. Black Mamba ipo kote hadi Startimes ipo sema nini DSTV ina Channel nyiiiingi sana yaan za michezo ndio usipime kuna Channel ni michezo ya Tennis tupu, nyingine humo ni Mbio za Magari tu, nyingine ni Mbio za Baiskel tu, nyingine ni Ndondi tu, nyingine ni Basket Ball tu, kwa hio machaguo ni mengi tofauti na Azam

Mimi na Tennis kwa hio nilikua nikiwasha tu naikimbilia Channel yangu ya Tennis

Alafu bado kuna vibwengo wanaitukuza azamuturuki tv. Watu wana utani aisee!

Wenye guts za kupambana na DSTV/Multichoice kwa africa ni CANAL+ pekee!
 
Wabongo tokeni huko afrika mashariki, zungukeni africa nzima muujue ukweli. Kuna wataalam wa hizi kazi wameuchuna tu azamuturukikobaz tv akasome.
 
Kuna tofauti kati ya kufanya production na broadcasting (kuonyesha).

Production ni kuzalisha, yani kupeleka vifaa na wataalamu kwa ajili ya kuzalisha hicho kinachoonekana kwenye tv.

Broadcasting ni kuonyesha tuu na sio lazima kufanya uzalishaji.

Kwenye kombe la dunia lililopita, TBC alifanya broadcasting (kuonyesha) tuu.

Kwenye ligi ya Tz, azam anafanya zote mbili yani production na broadcasting, yani anapeleka wataalamu kwa ajili ya mechi (production) na pia yeye azam anaonyesha (broadcasting) hizo mechi.

Kitakachofanyika ikiwa kama atapata kibali cha kuonyesha EPL au UEFA, Azam yeye atafanya broadcasting (kuonyesha tuu) kama alivyokuwa anafanya TBC kwenye kombe la dunia na sio kufanya uzalishaji. Hapa hakuna cha kusema ety azam ana camera mbovu wala mitambo mibovu ila kinachotakiwa ni kuonyesha hizo mechi kwa HD tuu na hata hvy channel zote 9 za azam tv ni HD.

Kwahy ishu ni pesa tuu ili kupewa hicho kibali, ila kwa kuwa azam anaonyesha tamthilia za kibongo bc watu wanaichukulia poa ila azam tv n kampuni kubwa mno hapa Afrika.

Aliyekuwambia TBC ana kibali ninani. Wote channel za taifa wana copy kutola kwenye ile channel ya Qatari yenye haki miliki ya hayo matangazo
Ni kuonesha sio kuonyesha.
Neno onyesha linatokana na onyo bali onesha linatokana na neno ona.

Kuonyesha ni kufanya majukumu ya kuonya dhidi ya jambo fulani ila kuonesha ni kufanya watu waone jambo fulani kama mpira katika televisheni au mazingaombwe.
 
Mabeki 3 watakua wanaangalia maana ndio wanapenda kuangalia, just imagine mezani kuna ving'amuzi vya Azam, DSTV, Startimes, Zuku, Canal+ vyote vipo mezani ila beki 3 ana opt kuangalia Azam ukiuliza ni Cheka Tu na hizo za Waturuki wabeba Mwewe wapiga mapaga lakini pia kumbuka Azam ina Channels nyingi za Dini za Ndani tofauti na DSTV
Kwenye dini naona Azam anapromote kobazi, sikuwahi ona hizo dini nyingine
 
Alafu bado kuna vibwengo wanaitukuza azamuturuki tv. Watu wana utani aisee!

Wenye guts za kupambana na DSTV/Multichoice kwa africa ni CANAL+ pekee!
Kwa sisi wakongwe tutakumba G sports walivyopoteana
 
Back
Top Bottom