Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

Bora asipate, king'amuzi Cha Azam kina channel za hovyo sana
Hovyo kwako peke yako kwetu sisi ni murua kuna Channel yangu moja hio ni movie za kichina tu na hakuna kurudia movie narudia hakuna kurudia movie sipendi umekaa sebleni na beki 3 anaanza kukuhadhithia movie ukimuuliza umeiona wapi anasema hii ilishaonyeshwagwa wanarudia

Sema kuna Channel moja hio nilikua naiangalia humo ni movie za zamani zile black n white za kivita tupu ile Channel sijawahi kuiona tena baada ya analogy kufutwa na kuja Digital nilikua naangalia Channel moja ilikua inaitwa CTN
 
TFF hakuna kitu pale mpaaka Walace Karia akitoka kwanza hakuna anachofanya kaleta VAR limekaa tu linapigwa na mavumbi siku ile kaviiimba eti tumeletewa VAR haya kiko wapi?
Ok.
Kama azam ndo anatoa kibali, je yeye azam amepewa kibali na nani au ilitokea ghafla tuu anaanza kuonyesha ligi?
 
Kuna muda mnamkandia kuwa ana camera mbofu, channel zake hazina picha kiwango cha HD. Kuna muda DSTV anasifiwa kweli kweli. Utasikia wengine wanasema kama azam asingekuwa na kibali cha kuonyesha ligi yetu, ningetupa king'amuzi. Sasa hapa wewe unasema kuwa kama Azam akipata kibali cha kuonyesha epl na uefa, DSTV kwisha.
Mnatuchanganya sisi wenye startimes mjue. Hebu kuweni na msimamo, azam na dstv nani mkali na sisi tuhamie huko.
Dstv ni dude kubwa sana
 
Sababu kuna Channel za Movie za Wakubwa au sio ndio ukubwa wenyewe huo?
Ni Duniani kote mzee huwenda ndio maana wana nguvu hata ya kuwa na kila unachotaka. Hizo za wakubwa hata hamna.
Ukitaka kufahamu kuhusu HD basi Dstv ndio mfanowe
 
Ni Duniani kote mzee huwenda ndio maana wana nguvu hata ya kuwa na kila unachotaka. Hizo za wakubwa hata hamna.
Ukitaka kufahamu kuhusu HD basi Dstv ndio mfanowe
Kwa akili yako dstv yupo dunia nzima?
 
Ni Duniani kote mzee huwenda ndio maana wana nguvu hata ya kuwa na kila unachotaka. Hizo za wakubwa hata hamna.
Ukitaka kufahamu kuhusu HD basi Dstv ndio mfanowe
Wewe hauijui DSTV pole sana nahisi unaishia vifurushi vidogo vidogo hivi vya Compact sijui Jumbo nini hupandi mpaka Super kwa hio hakuna unachojua
 
Wewe hauijui DSTV pole sana nahisi unaishia vifurushi vidogo vidogo hivi vya Compact sijui Jumbo nini hupandi mpaka Super kwa hio hakuna unachojua
Ni kweli kabisa.
Kichwani bado una jumbo wakati ule ni elfu 19
Mambo yana badilika wewe upo kulekule na Zuku yako
 
Back
Top Bottom