Kwa sisi wakongwe tutakumba G sports walivyopoteana
Mbaga kwani Jana ulikunywa? 😀Duniani kote ipi ww babu, USA tuu hapo huyo dstv ni sawa na zuku huku Bongo.
Dstv ina soko kubwa Africa tuu ila huko mbele ni wa kawaida sana kama zuku tuu.
Wabongo hamfatilii mambo ila mnaongoza kwa ubishi.
Tatizo la Azama ni Udini tu, hilo litampunguzia watejaItawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.
Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali ila hadimu na kutojirudia.
Sijakuelewa mkuuMbaga kwani Jana ulikunywa? 😀
Mbona tulielewana kabisa kuwa yenyewe ina mambo ya Duniani kote ikayaleta huku Afrika
Hapana, hiyo siyo ya Bakhresa. ZBC ni mali ya serikali ya Mapinduzi Zanzibar!Ndio.
Mkuu Jana nilikujibu kuwa vya Dunia nzima vipo hapa DstvSijakuelewa mkuu
Unajua n kwann Zbc2 ipo azam pekee ake?Hapana, hiyo siyo ya Bakhresa. ZBC ni mali ya serikali ya Mapinduzi Zanzibar!
Sasa mkuu kuwa Azam peke yake ndiyo inakuwa mali yake? Hapana siyo hivyo mkuu!Unajua n kwann Zbc2 ipo azam pekee ake?
Nadhani pia jiulize n kwann mechi za ligi na nyngnezo zinazofanywa na azam zinapitia Zbc2?
Jibu na ilo swali la pili.Sasa mkuu kuwa Azam peke yale ndiyo inakuwa mali yake? Hapana siyo hivyo mkuu!
Bado una safari ndefu sanaa ya kujua hayo mambo mkuuAzam TV kupitia channel yake ya Utv, kila jumamosi wanaonyesha mechi moja ya EPL, haya nipeni utofauti wa hiyo mechi ikionyeshwa Supersport VS azam
Kuweka rekodi sawa, mkaburu hakukimbiwa kwasababu bado yeye pekee ndio alikuwa na haki za kurusha Uefa Champions League huku Gsport akirusha EPLSasa GSport alikuwa na ubavu kupambana na DSTV, Na kweli DSTV walipelekeshwa maana bando la Gsport lilikuwa cheap sana. Sema hakuinvest sana kwenye vidude vyake vipatikane sehemu nyingi ili apate faida aliokuwa anaitaka japo ingechelewa kidogo. Maana mtaani watu walishasanuana kitambo kuhusu hao jamaa, vibanda vya mpira walibadili gia angani fasta kumkimbia mkaburu.
YANI KWA MPUNGA ALIKIOKUA BAKHRESA NDO ASIWE NA HELA NDOGO YA RIGHTS ZA KUONYESHA MPIRA?Hela ya kuipata hiyo leseni ya kuonesha hizo mechi kutoka kwenye mashindano, na ligi ghali kabisa duniani; wanayo?
Hawajui Azam kaweka 225 billion (Tshs) deal ya exclusive rights ku-broadcast TPLYah upo sahihi mkuu, watu wakiangalia mechi kwenye supersports/dstv wanadhani wao ndio wanaofanya production za hizo mechi kumbe nao pia wanapewa feed (video) kama ambavyo azam anapewa feed (video) za mechi za Laliga na Bundesliga.
Mfano EPL kuna makampuni kama matano hv ndo yanafanya production ikiwemo TNT, SKY SPORTS n.k ila Supersport/dstv anaonyesha tuu na hakuna mechi hata moja aliwahi kufanya production.
Wabongo wengi wanaichukulia simple azam TV kisa tuu wanaonyesha tamthilia, lkn azam TV n kampuni kubwa grade one kwenye rates za CAF, na ndio mana mechi zote za CAF zinazochezwa Tanzania zinafanyiwa production na azam TV.
Kwenye ufunguzi wa AFL ile mpaka rais wa FIFA alikuja Tz, ile production imefanywa na azam TV japokuwa kulikuwa na baadhi ya watu kutoka kwenye kampuni iliyokuwa na haki ya kufanya production ya mechi za AFL, pia official broadcaster ilikuwa ni kampuni kutoka France, ila production nzima ilifanywa na azam tv na mechi zote za CAF zinazofanyikia Tz bc azam ndo anafanya production.
Sasa mbongo kisa anaona tamthilia ambazo yeye hazipendi bc anaiona azam ni kituko.