Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

DSTV MAMA WA VYOTE
 
Hawawezi kupata, hawakawii kutoonyesha mechi live pale kunapukuwa na tukio kubwa la dini na kuonyesha lenyewe iliwahi kutoka mechi wanazoonyesha kupitia zbc2
 
unaijua serikali kwenye kupenda kodi
 
Utarudi tena hapa kuiombea dstv irudi,uwajui azam tv ww
 
Kwahiyo DSTV haitaki hiyo pesa Mpaka ampe Azam kibali? Kiufupi Hilo halitawezekana... Labda DSTV ife..
 
Kwahiyo DSTV haitaki hiyo pesa Mpaka ampe Azam kibali? Kiufupi Hilo halitawezekana... Labda DSTV ife..
Kwa sasa DSTV ikitaka wakitaka kuonesha ligi ya Tanzania nani anatakiwa kuwapa kibali kati ya AZAMTV na TFF?
 
Nafikiri Wanayo mkuu ila wanaenda kimkakati
Wakiipata tu DsTV chali

Hapa naungana na wewe DsTV ilikua zamani ila pia wanaipenda madada mapashunaku wa uswazi sababu movie za kibongo Cinema Zetu ndio Channel yao pendwa
 
Kwasasa itakuwa ni AZAM TV Maana wako kwenye mkataba. Kwa Uwekezaji alioufanya Azam na juhudi ambazo Azam anazifanya kwenye serikali Hii na Kodi anayolipa na gawio analotoa Hakuna wakumtoa.
Kwa sasa DSTV ikitaka wakitaka kuonesha ligi ya Tanzania nani anatakiwa kuwapa kibali kati ya AZAMTV na TFF?
 
Wakiipata tu DsTV chali

Hapa naungana na wewe DsTV ilikua zamani ila pia wanaipenda madada mapashunaku wa uswazi sababu movie za kibongo Cinema Zetu ndio Channel yao pendwa
Kwa sasa hivi haiwezekani, Azam bado ana mkataba, mpama mkataba utakapoisha tender ikitangazwa na bodi ya ligi atakaeshinda anapewa zabuni.
 
Azam wako vizuri, na wakifanikiwa kupata rights za kuonyesha UEFA na EPL itakuwa jambo jema sana sema si kazi rahisi, StarTimes wana la kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…