Ndio haifanani ila vinazidiana km umeangalia Azam kisha umeangalia DSTV havifanani hata kidogo kuna utofauti especially kwenye suala la movie uzuri wa DSTV ina Channels nyingi nyingi nyingi za kila aina ndio maana nimekwambia kuna Channels mpaka hizo za PiratesKwa hayo usemayo ndio uifananishe na Azam?
Mjinga wa mwisho wewe. Kwa kuwa umekulia uswahilini huko unataka na sisi tuwe na uswahili kama azam. pambafItawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.
Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali ila hadimu na kutojirudia.
Hili somo nilitaka kuwapatia wadau hapo juu waliouliza kuhusu Azam ana camera mbovu n.kKuna tofauti kati ya kufanya production na broadcasting (kuonyesha).
Production ni kuzalisha, yani kupeleka vifaa na wataalamu kwa ajili ya kuzalisha hicho kinachoonekana kwenye tv.
Broadcasting ni kuonyesha tuu na sio lazima kufanya uzalishaji.
Kwenye kombe la dunia lililopita, TBC alifanya broadcasting (kuonyesha) tuu.
Kwenye ligi ya Tz, azam anafanya zote mbili yani production na broadcasting, yani anapeleka wataalamu kwa ajili ya mechi (production) na pia yeye azam anaonyesha (broadcasting) hizo mechi.
Kitakachofanyika ikiwa kama atapata kibali cha kuonyesha EPL au UEFA, Azam yeye atafanya broadcasting (kuonyesha tuu) kama alivyokuwa anafanya TBC kwenye kombe la dunia na sio kufanya uzalishaji. Hapa hakuna cha kusema ety azam ana camera mbovu wala mitambo mibovu ila kinachotakiwa ni kuonyesha hizo mechi kwa HD tuu na hata hvy channel zote 9 za azam tv ni HD.
Kwahy ishu ni pesa tuu ili kupewa hicho kibali, ila kwa kuwa azam anaonyesha tamthilia za kibongo bc watu wanaichukulia poa ila azam tv n kampuni kubwa mno hapa Afrika.
Ndio mnavyodanganyana huko wavaa kobaz.Sababu kuna Channel za Movie za Wakubwa au sio ndio ukubwa wenyewe huo?
Ni aibu sana kulinganisha DSTV (dude kuuubwa) na Azam.Kuna muda mnamkandia kuwa ana camera mbofu, channel zake hazina picha kiwango cha HD. Kuna muda DSTV anasifiwa kweli kweli. Utasikia wengine wanasema kama azam asingekuwa na kibali cha kuonyesha ligi yetu, ningetupa king'amuzi. Sasa hapa wewe unasema kuwa kama Azam akipata kibali cha kuonyesha epl na uefa, DSTV kwisha.
Mnatuchanganya sisi wenye startimes mjue. Hebu kuweni na msimamo, azam na dstv nani mkali na sisi tuhamie huko.
Amini kuna watu hawajaelewa kwa sababu wameamua kutokuelewa.Hili somo nilitaka kuwapatia wadau hapo juu waliouliza kuhusu Azam ana camera mbovu n.k
Nadhani hapa umewaelewesha kitaalamu na wataelewa.
Kuchezesha timu saa nane mchana na jua kali,,lakini simba na yanga hazijawahi kucheza mechi saa naneImewashinda kwenye point ipi?
Dah kazi ipo 😂 tena kazi ipo kubwa sana 😂Kuchezesha timu saa nane mchana na jua kali,,lakini simba na yanga hazijawahi kucheza mechi saa nane
Serious? Basi waambie hivi.Amini kuna watu hawajaelewa kwa sababu wameamua kutokuelewa.
📍Serious?
Kama sehemu ya mdhamini lazima aone haki kwa timu zote zinafuatwa,,,Dah kazi ipo 😂 tena kazi ipo kubwa sana 😂
Kwahy umesema azam ndo anapanga ratiba, mechi zichezwe saa ngapi 😂
Haki ya wengine wacheze mchana ila simba na Yanga wasicheze mchana?Kama sehemu ya mdhamini lazima aone haki kwa timu zote zinafuatwa,,,
Broadcasters huwa wana makubaliano na ligi husika kuhusu ratiba za mechi na wanashirikiana ku schedule tarehe na muda wa mechi kulingana na mahitaji ya mechi husika. Kuna factors nyingi zinazo determine mechi ichezwe lini na saangapi zikiwemo za kiusalama, hali ya hewa, broadcasting, shughuli za kijamii/kiserikali n.kKuchezesha timu saa nane mchana na jua kali,,lakini simba na yanga hazijawahi kucheza mechi saa nane
cc @https://www.radiomaria.co.tz/DSTV MAMA WA VYOTE
Umenielewa vibaya sijasema Kwamba Azam ndiye anayetoa kibali.Jamaa anakuambia azam ndo wanatoa kibali 😂
Yah upo sahihi mkuu, watu wakiangalia mechi kwenye supersports/dstv wanadhani wao ndio wanaofanya production za hizo mechi kumbe nao pia wanapewa feed (video) kama ambavyo azam anapewa feed (video) za mechi za Laliga na Bundesliga.Serious? Basi waambie hivi.
hao DSTV wanapokuwa wanaonyesha mfano UEFA au EPL haimaanishi wamepeleka camera zao ulaya kwenda ku record (produce) hiyo match ndio sisi wateja wao tuone bali ni kwamba wao wananunua matangazo kutoka TNT sports,BBC au Amazon
Kutokana na facts Fulani Fulani, na mambo mengineyo ya kibiashara, na mambo ya mzawa as first priority na Ushirika na ubia alionao AZAM Na Serikali Kwa mambo mengi.
Ni Ngumu Serikali kumnyanga hati miliki ya Maudhui hayo AZAM na kumpa DSTV.
Hili Hali AZAM anahiitaji hiyo biashara na hayuko teyari kuvunja mkataba na Yuko teyari Kurenew mkataba wake.
Na Kwa Sisi watanzania ni Heri AZM hasinganganywe hiyo hati miliki na Kupewa DSTV. Kwa maana hati miliki alipewa DSTV Tutakuwa tunalipia gharama kubwa kufuatilia ligi kuu Kwa kulipia vifurushi Kwa fedha ambayo Kwa Azam ni kitonga kwetu.
Sasa hao watakuvusha wewe na familia yako. Penda Elimu itakusaidia dogocc Radio
cc @https://www.radiomaria.co.tz/
Tusubiri hawa Trump akimaliza muda wake watatuvusha, maana USAID wamepigwa pini na Trump......
Ligi Kuu tu hapa imewashinda. EPl wataweza
Kwa kisimbusi chao isije ikatokea..kibovu chama cha quality ya chini.
Kwa taarifa yako hawawezi kupata mkuu. Yan azam ipo nchi maskini watu hawamudu hata kulipia vifurushi
Azam hela gani anaweza kutokuwanayo? Hebu kuwa na heshima bro! Labda iwe kupata hicho kibali lakini siyo pesa!
Huu wimbo unahitaji remix sasa!! Kila siku story ni hizi hizi, EPL rights sio ndondo cup kwamba kila mtu anaweza kununua
Azam TV kupitia channel yake ya Utv, kila jumamosi wanaonyesha mechi moja ya EPL, haya nipeni utofauti wa hiyo mechi ikionyeshwa Supersport VS azamHela ya kuipata hiyo leseni ya kuonesha hizo mechi kutoka kwenye mashindano, na ligi ghali kabisa duniani; wanayo?