Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

Dstv sio Supersport, Supersport anaonyesha kwa 4k, azam anaonyesha nadhani kwa 720HD.

Wote hawa wanaonyesha kwa HD.
 
Kumbe hujasoma nilichokiandika 😂 hatahvy ulichoandika hapo tayari nshakujibu kwenye hy comment.
Narudia tena Azam ni takataka mbele ya dstv hata usemaje ila kwakua unaitumia endelea kuitetea ila ni takataka tu mbele ya dstv 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu ata mimi nimemshangaa anaposema Dstv inaangaliwa Uswahilini huyu atakua hajatembea, yani anatakiwa ajue Azam ndiyo inaangaliwa Uswahili uwezi kwenda Osterbay, Masaki, Mikocheni ukakuta wakazi wake wanatumia Azam, Yani Azami inajulikana na inatumiwa na sehemu zenye wakazi wenye Elimu ndogo na uchumi wachini sana Azam ndiyo furaha yao.
 
Huyo anatetea Azam kwakua ipo kwake anakuambia ni kubwa zaidi ya dstv Kuna watu vituko kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hela ya kuipata hiyo leseni ya kuonesha hizo mechi kutoka kwenye mashindano, na ligi ghali kabisa duniani; wanayo?
Tatizo sio pesa bro nafikiri shida ni kwamba mdhamini mkuu wa EPL na UEFA ni kampuni za pombe

FA , CARABAO CUP, BUNDASILIGA na LA LIGA
hizi zote Azam wanaonyesha Ina maana hizi right zake ndio rahisi kiivyo
 
Mzee DStv huwezi fananisha na hup uchafu wako ulioununua kutoka Azam naona unaitetea sana kisa umenunua azam 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eh kumbe hua unakuja kwangu kupata taarifa mpaka umejua natumia azam 😂

Vp mkuu, bila shaka unachokifata hua nakupa mpaka unafurahi 🔥
 
Tatizo sio pesa bro nafikiri shida ni kwamba mdhamini mkuu wa EPL na UEFA ni kampuni za pombe

FA , CARABAO CUP, BUNDASILIGA na LA LIGA
hizi zote Azam wanaonyesha Ina maana hizi right zake ndio rahisi kiivyo
Kwahiyo akiwa mdhamini wa pombe ndio inamzuia nini Azam
 
Eh kumbe hua unakuja kwangu kupata taarifa mpaka umejua natumia azam 😂

Vp mkuu, bila shaka unachokifata hua nakupa mpaka unafurahi 🔥
Narudia tena hata usemaje Azam ni takataka masikini ndio wanaongozwa kuifunga kwenye nyumba zao Sasa endelea kutetea kwakua unaitumia ila ukweli unaujua🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nikikumbuka mashindano ya kombe la Mataifa Afrika yalifanyikia nchini IVORY COAST mwaka jana kwenye mchezo wa NIGERIA na IVORY COAST ambapo alisikika MTANGAZAJI WA TBC1 akimtaja taja VICTOR BONIFACE kuwa sehemu ya kilichocheza mchezo huo wakati VICTOR hakuwa sehemu ya kikosi cha Nigeria kutokana na majeraha aliyokuwa nayo ninapinga WASWAHILI kupewa kibali cha kuonesha mashindano mengine yoyote ya KIMATAIFA.

KILICHO NIHUDHI ZAIDI NI KWAMBA ALIENDELEA KUTAJI JINA LA VICTOR BONIFACE MPAKA MWISHO WA MCHEZO KIASI KWAMBA IDARA YOOOOOOTE YA MICHEZO HAPO TBC1 HAWAMJUI VICTOR BONIFACE NA HAWAJUI HATA KUSOMA MAJINA YA WACHEZAJI.

NASEMA HIVI WASWAHILI TUSIPEWE KIBALI CHA KUONESHA MASHINDANO YA NJE YA TANGANYIKA.
TENDELEE NA SARAKASI ZA KABUMBU TU.
 
Tatizo sio pesa bro nafikiri shida ni kwamba mdhamini mkuu wa EPL na UEFA ni kampuni za pombe

FA , CARABAO CUP, BUNDASILIGA na LA LIGA
hizi zote Azam wanaonyesha Ina maana hizi right zake ndio rahisi kiivyo
Pombe sio ishu mana Waislamu wana unafiki sana.

Mashindano ya CAF yana matangazo ya kubet na pombe na hayo matangazo ni lazima uyacheze ikiwa unataka kuonyesha mechi za CAF na azam anayaonyesha.
 

Alafu bado kuna vibwengo wanaitukuza azamuturuki tv. Watu wana utani aisee!

Wenye guts za kupambana na DSTV/Multichoice kwa africa ni CANAL+ pekee!
 
Wabongo tokeni huko afrika mashariki, zungukeni africa nzima muujue ukweli. Kuna wataalam wa hizi kazi wameuchuna tu azamuturukikobaz tv akasome.
 

Aliyekuwambia TBC ana kibali ninani. Wote channel za taifa wana copy kutola kwenye ile channel ya Qatari yenye haki miliki ya hayo matangazo
Ni kuonesha sio kuonyesha.
Neno onyesha linatokana na onyo bali onesha linatokana na neno ona.

Kuonyesha ni kufanya majukumu ya kuonya dhidi ya jambo fulani ila kuonesha ni kufanya watu waone jambo fulani kama mpira katika televisheni au mazingaombwe.
 
Kwenye dini naona Azam anapromote kobazi, sikuwahi ona hizo dini nyingine
 
Alafu bado kuna vibwengo wanaitukuza azamuturuki tv. Watu wana utani aisee!

Wenye guts za kupambana na DSTV/Multichoice kwa africa ni CANAL+ pekee!
Kwa sisi wakongwe tutakumba G sports walivyopoteana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…