Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

Nje ya EPL kwa Dstv na Ligi ya TZ kwa Azam Tv, nini vingine vya ziada?
 
unuaji wao kwa upande wa Africa wameweka kipengele cha wao kuwa consulted pale mdau mpya anapotokea huku Afrika
 
Kwa sasa azam **** LALIGA,SERIA A,BUNDESLIGA,epl kila jumam0c huko mbeleni tutegemee makubwa
Sasa mkuu hao Azam wanaweza kuonyesha zaidi ya Mechi moja kwenye ligi zote hizo ulizo taja ili mtazamaji ajichagulie mechi anayoitaka au ndiyo watakua wanatuchagulia mechi za kutoonyesha? Mfano England zinacheza timu zote kubwa
Italy, Germany na Spain je wataweza kuonyesha mechi kwa wakati mmoja au ndiyo watatuonyesha mechi moja?
 
Shida pekee ni lazima wafikie nchi zote za Africa sababu license wanayotoa ni yule mwenye miundombinu ya kuweza kuwafikia watu wote mwisho wa siku EPL ni product na wanahitaji mtu atakaye bid pesa kubwa lakini technical side je anakila kitu ready kuwafikia wateja wote. Hapo ndio Azam nadhani bado ila sio kwamba hawawezi ni kubadili strategy za kibiashara na pia kumbuka bei haitakuwa hivi tena labda EPL iwe separate package. DSTV shida yao wanachanganya package bei zinakuwa juu ila wangekuwa na option package ya mpira tu.
 
Na StarTimes akipata kibali cha NBC Premier League Tanzania Azam amekwisha
 
akikuzid ww ndo useme anaweza mudu chochote ?
Kuwa na heshima wewe guduria! Hapa Tanzania kuna nani wa kumzidi mzee Bakhresa? Narudia tena, hakuna kitu cha kumshinda Azam hapa Tanzania akiamua kufanya jambo! Ulishaona Watanzania wangapo wenye uwezo wa kuhamisha Bahari?
 
Hapo ndipo wanapofeli
 
Tatizo sio pesa bro nafikiri shida ni kwamba mdhamini mkuu wa EPL na UEFA ni kampuni za pombe

FA , CARABAO CUP, BUNDASILIGA na LA LIGA
hizi zote Azam wanaonyesha Ina maana hizi right zake ndio rahisi kiivyo
Wananunua haki za kuonyesha kutoka kwa kwengine. Hana mkataba yeye kama yeye kuyonyesha direct hizo mechi.
Azam anaonyesha epl moja kila wiki, wabongo Embu fatilieni acheni ubishi kwenye vitu msivyojua mana kuona mmeshindwa.
Sasa kuonyesha mechi moja ndio unapiga kelele hapa
 
DSTV bora uwaue lqkininsi kuwapora hiyo haki ya kurusha DSTV
 
Wananunua haki za kuonyesha kutoka kwa kwengine. Hana mkataba yeye kama yeye kuyonyesha direct hizo mechi.

Sasa kuonyesha mechi moja ndio unapiga kelele hapa
Ulitaka waonyeshe mechi ngapu
 
Watu wamekariri kuwa ni dstv tuu ndo anaonyesha epl na uefa ila kuna channel kibao nje ya dstv zinaonyesha hizo mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…