Azam amepunguza kipimo cha Azam Ukwaju.

Azam amepunguza kipimo cha Azam Ukwaju.

Nauza ukwaju buku jero, wanaume bure 😛
112002_.jpg
 
Wanajukwaa ni mimi tu au wote! Jana nilimtuma mtoto akaninulie Azam Ukwaju zile za Jero Jero na kumwmabia aniwekee kwenye fridge! Cha ajabu naona kama ujazo umepungua! Ice Lolly za Ukwaju za Azam zimepugua kipimo sio kawaida, karatasi zimejaa upepo tupu.

View attachment 3052605

Mwanzoni ulianza vizuri sana Kimfuko kilikuwa kinajaa ice lolly ila sasa hivi ni upepo tu! na mnachukua jero jero zetu!? Shukuru kwamba unajulikana na watu na umesambaza bidhaa Tanzania nzima ila kiukweli Jambo Foods ameanza kukupiga bao mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Rudisheni kipimo cha mwanzo, watu wameshtukia mchezo wenu! Biashara ni nzuri sana ya hizi Ice Cream na Ice Lolly ila msitumie nguvu ya kibiahsra kuharibu.
Tafuta hela
 
Watu wa Dar leo wanatunanga😂 mimi pia nakulaga ice cream hizo hasa maziwa tena wakati mwingine katikati ya jiji

NB
Ukiniona huwezi kunikemea maana nina ndevu kama za savimbi na kitambi kamw cha cap kpmba😂
 
Wanajukwaa ni mimi tu au wote! Jana nilimtuma mtoto akaninulie Azam Ukwaju zile za Jero Jero na kumwmabia aniwekee kwenye fridge! Cha ajabu naona kama ujazo umepungua! Ice Lolly za Ukwaju za Azam zimepugua kipimo sio kawaida, karatasi zimejaa upepo tupu.

View attachment 3052605

Mwanzoni ulianza vizuri sana Kimfuko kilikuwa kinajaa ice lolly ila sasa hivi ni upepo tu! na mnachukua jero jero zetu!? Shukuru kwamba unajulikana na watu na umesambaza bidhaa Tanzania nzima ila kiukweli Jambo Foods ameanza kukupiga bao mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Rudisheni kipimo cha mwanzo, watu wameshtukia mchezo wenu! Biashara ni nzuri sana ya hizi Ice Cream na Ice Lolly ila msitumie nguvu ya kibiahsra kuharibu.
Wee jombaa nia aje?,unakulaje chakula ya watoto?...wewe saizi yako ni double kick!!!
 
Toka hapo Dogo alipoolewa dada Yako,,Wewe shauri yako utaishia kuwapeleka na kuwapokea watoto wa dada Yako wakitoka shule Kwa skuli basi
 
The better way to escape pre- mature aging is to reflect ur life with kids and nothing else.
 
Attachments

  • Screenshot_20240726-130232_1721988373381.jpg
    Screenshot_20240726-130232_1721988373381.jpg
    161.2 KB · Views: 1
Nikajua juice za ukwaju kumbe unaongelea ukwaju wa kuunyonya..

Siwezi poteza pesa yangu kununua hizo kitu aisee.
Kwanza huwa unaitia vipi mdomoni??
 
Kwa mwanaume ni sawa kunyonya ice cream 🙄
Mwanaume rijali kulalamika ashkrimu haijaenea kuna Shida

Tanzania bila mashoga ya kiume inawezekana

How comes dume zima linalalamika kuwa Ashkrimu au lambalamba zimepungua ujazo?

Wazazi hasa wa kike wazaa mtoto wa kiume muwe makini na watoto wenu wa kiume wakiwa watu wazima mkiona wanapenda kula sana Ashkrimu na lambalamba wakiwa wakubwa mjue mumezaa mitoto sio riziki mumezaa mishoga
 
Back
Top Bottom