Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Kuna umuhimu wa Jamii kwa kuweka interview kwa wanachama wake....maana hata hili pia nalo kaja kufungulia Uzi..... Masikini ana roho mbaya.
Hizo ni mkakati wa biashara
Kwani hiyo Azamu inamilikiwa na serikali, au mishahara ya wafanyakazi wake hulipwa na serikali, mpaka Uitake serikali iingilia kati.Hii media ina udini sana kuanzia ajira, njoo kwenye makampuni yanayomilikiwa na mmiliki ajira zao zinazingatia watu wa dini fulani. Serikali inatakiwa kulitupia macho
Je ajira za azamu, kuna kipengele dini kuwa lazima uwe Muislamu.
Kama sifa za ajira za azamu ni Uislam, akina Tido Dustan Muhando, Dany Bandezu, Yvonna Kamuntu, Raimond Nyamwihula, na Charles Hilary, hao ni baadhi tu, ila wapo Wakristo wengi tu kwenye section zingine ndani ya Azamu, sema wewe ndiye mdini, ndiyo maana unawaza udini.