Azam, Azam Udini utawaharibia

Azam, Azam Udini utawaharibia

Subirini jamani mtawafanya washindwe kutuma salamu za Kuzaliwa kwa Yesu bure. Msiwatilie nongwa hao Azam
 
Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
wewe mwenyewe hapa unaleta udini au hujaelewa tu
 
Kuna mtu kawataja huko juu kibao, sina haya ya kurudia,
Kina Tido, Peter kahemele, Mpenja, Ivona, Walikuwepo kina Charles, kuna yule mdada wa Morning Trumpet, kuna yule mwalimu wa watoto, na wengine wengi,

Tuache uongo,
10 vs 90
 
Kwani hiyo Azamu inamilikiwa na serikali, au mishahara ya wafanyakazi wake hulipwa na serikali, mpaka Uitake serikali iingilia kati.
Je ajira za azamu, kuna kipengele dini kuwa lazima uwe Muislamu.

Kama sifa za ajira za azamu ni Uislam, akina Tido Dustan Muhando, Dany Bandezu, Yvonna Kamuntu, Raimond Nyamwihula, na Charles Hilary, hao ni baadhi tu, ila wapo Wakristo wengi tu kwenye section zingine ndani ya Azamu, sema wewe ndiye mdini, ndiyo maana unawaza udini.
Wengine hao hapo
 
Ni aibu unajiita jina la mtu mkubwa hivo halafu huna akili hata chembe,

Nipe official statistics za kuprove Azamtv ana wafanyakazi wengi waislam
Wewe dada angu unashinda haswa, ile ni TV ya mtu binafsi hata akiweka waislamu wote wala hainihusu
 
Wewe ndio kimbelembele ungeangalia zako Agape TV wala usingesumbua watu humu
 
Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
...Maria Therezia
ni Kilatini ??? Elewa Una hosoma ....!!

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Ila upande wa Tv Azam hawana udini aisee mi naweza nikakutajia majina ya wakristo pale hadi ukachoka kuanzia asubuhi hadi jioni
Huyo labda kakosea kutokana na uwezo wake mwenyewe wa kuelewa mambo ila udini hapana Azam wakristo wengi sana
1.Hilda Foya
2.Mercy
3.Ivona
4.Tido
5.kale kajamaa kanatangaza na Foya
6.Paschal kabombe
Ni wengi sana kina Nyembela
...SITA ndio Wengi ??? [emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Hii reasoning yako hadi kufikia hitimisho la udini ni ya ajabu zaidi ya huyo mtangazaji.
 
Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Yaan ashindwe kutamka "Maria Theresa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauko serious
 
Back
Top Bottom