Tetesi: Azam energy drink kufungiwa

Tetesi: Azam energy drink kufungiwa

Huu mchezo ulisababisha nikahisi moyo unabomoa kifua ili utoke nje.
From that day, nilikoma kutumia azam kupunguza ukali wa (mixer) machozi ya simba
Kuna mshikaji wangu ngoja nimwambie juu ya hili, hii ndio mixer yake kwenye mambo yetu.
 
Mo alishawahi kusema, tangu azaliwe hajawahi kunywa Mo energy.

Mtu akipewa kazi ya kuchimba mtaro tu lazima anywe mo energy.,huko masaiti ndio usiseme.

Unaweza kudhani kuna kiwanda humo saiti
MO Extra sio energy..
 
Azam energy nimeinywa toka 2016 mpaka leo sijaona tatizo

Hizi ndo kiki kama zile za NOVIDA kusemekana eti ina virusi vya ebola
 
IMG_20250216_134508.jpg
 
Back
Top Bottom