KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Magoli anayofunga MAYELE inadhihirisha ubora hafifu wa mabeki katika ligi yetu.,....Mayele anajua kamwe hawezi kutetema kwa Inonga Baka Verane mutu ya kazi [emoji6]
Umeshamsahau kwenye ngao ya hisani? Ukishazoea kufunga huwa ukipiga mpira lazima ujae nyavuni.Mayele anajua kamwe hawezi kutetema kwa Inonga Baka Verane mutu ya kazi [emoji6]
[emoji23][emoji23]unazingua ScarsFT Azam1-Yanga2
Nani alisema yanga haendi roboo?
Huu nao ni mtazamo wako tuNdio ni mchezaji bora lakini ligi yetu pia dhaifu. How mfungaji kama huyo unapigwa mpira uliokufa alafu yupo free? Alipaswa kuwa na mtu ambaye assignment yake muda kama huo ni man to man.
Kafunga goli chache za kutumia akili na nguvu lakini nyingi ni poor defence za timu nyingi zinakutana na mtu makini kama yeye. Huyu angekuwa enzi zile za kukaba hadi kivuli kama akina Salum Kabunda achomoki
Uhuru unapitiliza hapa jamviniMatako wewe
Ujue ukipatwa na Presha au tatizo fulani unaweza kujiuliza hata kwa mtoto wa miaka mitano!Mtazamo ww ni miongoni mwa watu wanaoheshimika humu JF ushabiki usikuondolee credibility uliyonayo
KabisaHuyu Mayele anaendelea kuwaziba midomo wachambuzi maandazi waliombeza mwanzoni mwa msimu.
[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji172][emoji169]
Hizo hizo poor defense Bocco, Kagere na Sakho wameshindwa kuzifungaNdio ni mchezaji bora lakini ligi yetu pia dhaifu. How mfungaji kama huyo unapigwa mpira uliokufa alafu yupo free? Alipaswa kuwa na mtu ambaye assignment yake muda kama huo ni man to man.
Kafunga goli chache za kutumia akili na nguvu lakini nyingi ni poor defence za timu nyingi zinakutana na mtu makini kama yeye. Huyu angekuwa enzi zile za kukaba hadi kivuli kama akina Salum Kabunda achomoki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mayeleeeeeeeeee....
Apewe tu tembo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona nyie mlibebwa na daladala mlivyoenda BeniniUn beaten wakati mnabebwa? Wangekuwa ndio Simba wamefanyiwa hivyo mngeita ptess conference na kutishia kususia ligi