Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,303
- 7,629
subiri machozi baada ya 90.Lalama Tu Mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
subiri machozi baada ya 90.Lalama Tu Mzee
... UsiwasingizieAzam tv mara nyingi matukio yao hasa Azam na Yanga huwa hawaonyeshi marudiao ama wanaonyesha kwa kurudia picha mbovu.
Ni sehemu ya Gamesubiri machozi baada ya 90.
Faulo za halali Anapeta,zisizo za halali anaweka free kickRefa amepanick, hii faulu ni Nyepesi Sana Kutoa kadi
Tulia mtaniRefa wa leo
Waambieni walamba Aiskirimu watulieHii mechi haikosi red card ,refa Ana vijihasira flani,mechi imekuwa kubwa kwake
WamchongoRefa wa leo
Azam ndio wanapania zaidiMechi za Azam ma Yanga huwa wanapaniana sana refa hapaswi kuwa mwenye hasira
Azam huwa wanatumwa na Makolo fc.Azam ndio wanapania zaidi
Huyu Mwinchui hataki mchezo kabisa!! Ila mwisho wa siku maombi yangu naomba yaende kwa Azam fc.Hii mechi haikosi red card ,refa Ana vijihasira flani,mechi imekuwa kubwa kwake
Leo umehamia Azam?Hawa uto Lazm tuwale kichwa kesho waitishe press