Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Hii mechi haikosi red card ,refa Ana vijihasira flani,mechi imekuwa kubwa kwake
Huyu Mwinchui hataki mchezo kabisa!! Ila mwisho wa siku maombi yangu naomba yaende kwa Azam fc.

Kati ya Aggrey Morris na Mudathir mmoja wao akila umeme, hakika tutapata unafuu mkubwa. Maana hakuna namna.
 
Back
Top Bottom