Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Kuna watu wanashida zao,wanataka wasaidiwe na Azam........Kila mtu apambane na hali yake..... Azam akijitahidi sana leo ataambulia sare tu
Du ,Sasa Azam wakiamnulia share UTOPOLO mtakuwa mmeambulia Nini!
 
Swala la vitu kupanda bei limerahisisha sana thamani ya marefa kushuka

Saizi saizi sio kama zamani yani kufanya mapatano na marefa sio pesa kubwa kama zamani

Saizi ukimuhakikishia kumpa unga baada ya mechi hachomoi
 
Yaaani pia me huwa nalia na zile display za subs wanazotumia referree, yaani tunatumia za kupanga mpaka miaka hii si dhani kama ni gharama hivo
Mie huo uwanja DISPLAY ya matangazo kama ULAYA vile.TFF sijui wanashindwa nini kufanya hivi pale UHURU na Benjamini.
 
Au ukimpa mafuta ya kula
Swala la vitu kupanda bei limerahisisha sana thamani ya marefa kushuka

Saizi saizi sio kama zamani yani kufanya mapatano na marefa sio pesa kubwa kama zamani

Saizi ukimuhakikishia kumpa unga baada ya mechi hachomoi
 
aliwahi kuhojiwa mchezaji aliyewahi kuchezea Azam na kukiri kuwa huwa wanajiandaa sana wanapokutana na Yanga kuliko wanapokutana na Simba.
Simba na Azam Ni ndugu au hujui hili? Ndyo maana Ni rahisi Azam kuuza mchezaji Simba kuliko Yanga.
 
Refs anaongozwa na Hasira na pressure ya Mchezo ni kubwa
 
Back
Top Bottom