Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
- Thread starter
- #221
KiasiMechi tough hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KiasiMechi tough hii
aliwahi kuhojiwa mchezaji aliyewahi kuchezea Azam na kukiri kuwa huwa wanajiandaa sana wanapokutana na Yanga kuliko wanapokutana na Simba.Azam ndio wanapania zaidi
Pochi ya gsm haimwachi salama!! Anapiga mahesabu ya penati ya pili na kuchomoa goli la pili la azam!Refa wa leo
Ni tough sana na kwa Yanga imechangia na kutokuwepo viungo wake wa kila siku Aucho na Bangala. Azam wanatembea sana na mipiraMechi tough hii
Du ,Sasa Azam wakiamnulia share UTOPOLO mtakuwa mmeambulia Nini!Kuna watu wanashida zao,wanataka wasaidiwe na Azam........Kila mtu apambane na hali yake..... Azam akijitahidi sana leo ataambulia sare tu
Na 🐄 fc mnatumwa na naniAzam huwa wanatumwa na Makolo fc.
Mie huo uwanja DISPLAY ya matangazo kama ULAYA vile.TFF sijui wanashindwa nini kufanya hivi pale UHURU na Benjamini.
Swala la vitu kupanda bei limerahisisha sana thamani ya marefa kushuka
Saizi saizi sio kama zamani yani kufanya mapatano na marefa sio pesa kubwa kama zamani
Saizi ukimuhakikishia kumpa unga baada ya mechi hachomoi
Simba na Azam Ni ndugu au hujui hili? Ndyo maana Ni rahisi Azam kuuza mchezaji Simba kuliko Yanga.aliwahi kuhojiwa mchezaji aliyewahi kuchezea Azam na kukiri kuwa huwa wanajiandaa sana wanapokutana na Yanga kuliko wanapokutana na Simba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bora utuite uto kuliko hilo jina eti club de la cowSalula amesimama tu, golikipa gani huyu
Haya piga nikupige Azam FC 1-1 Club de Ng'ombe.
Nilikuwa najua una akili timamu kumbe nilikosea sanaAzam hii game mshindwe wenyewe
Punguza dharau mzeeNilikuwa najua una akili timamu kumbe nilikosea sana
Sasa hasie na akili atamjuaje mwenye akili?Nilikuwa najua una akili timamu kumbe nilikosea sana