Neno zuri ni uzembeNaushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu.
Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
Wenye akili ni wawili mnakula 7-2 wakiwa 6 itakuaje?Kufungwa afungwe Azam ila kuumia muumie nyie vyura, hebu tumieni akili kidogo walau wenye akili hapo Yanga mfike hata 6 kutoka wawili wa sasa yaani JK na Sunday Manara.
Mnaishauri timu isiyokuwa na malengo. Tayari kiongozi wa Azam anasema wachezaji wengi wanataka kuondoka, yaani badala ya kuwa kitu kimoja kuelekea kumaliza msimu.Azam waache ujinga. Nafasi ya pili ni mali yao. Hivyo wasikubali kumuuzia simba kwa gharama yoyote ile. Kila timu ivune ilichopanda.
Hapo kwenye kuuza haikwepeki, uongozi wa Azam usipouza basi wachezaji wa Azam ndio watakaouza. Feisal na wenzakeAzam waache ujinga. Nafasi ya pili ni mali yao. Hivyo wasikubali kumuuzia simba kwa gharama yoyote ile. Kila timu ivune ilichopanda.
Haaahaaa!! Kama Feisal alivyoamua kupoteza Penati, halafu hata HAKUONYESHA KUSIKITIKAAzam hawako serious...wakiona wanaelekea kushinda wako tayari hata kujifunga!!!
Wamechukua kombe lakn wao ndio wanasikitika[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Na hawana furahaWamechukua kombe lakn wao ndio wanasikitika