Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furaha mashabiki wa Simba na Yanga zinafanana, ni kuona timu asiyoipenda inachechemea. Ni sawa na wewe unavyochukia Yanga akishinda mechi zake.Kombe mmebeba ila kuteseka hakuishi.
hawatapata nafasi ya piliNaushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu.
Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
Mm Simba ikishashinda sina time na vyura.Furaha mashabiki wa Simba na Yanga zinafanana, ni kuona timu asiyoipenda inachechemea. Ni sawa na wewe unavyochukia Yanga akishinda mechi zake.
Azam ilikuja baada ya mtoto wa bakhresa kufariki kwenye ajali ya gari.Azam hana haraka ni club iliyoundwa kutoa burudani tu na kutengneza AJIRA zenye mishahara minono.