Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

Kombe mmebeba ila kuteseka hakuishi.
 
Kombe mmebeba ila kuteseka hakuishi.
Furaha mashabiki wa Simba na Yanga zinafanana, ni kuona timu asiyoipenda inachechemea. Ni sawa na wewe unavyochukia Yanga akishinda mechi zake.
 
Reactions: Tsh
hawatapata nafasi ya pili
 
Furaha mashabiki wa Simba na Yanga zinafanana, ni kuona timu asiyoipenda inachechemea. Ni sawa na wewe unavyochukia Yanga akishinda mechi zake.
Mm Simba ikishashinda sina time na vyura.
 
Azam hana haraka ni club iliyoundwa kutoa burudani tu na kutengneza AJIRA zenye mishahara minono.
Azam ilikuja baada ya mtoto wa bakhresa kufariki kwenye ajali ya gari.

Nadhani alitaka wanawe waachane na maswala ya mashindano ya magari mpira uchukue nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…