Azam FC pekee ndiyo inaruhusiwa kutumia wachezaji wa kigeni Ngao ya Jamii

Azam FC pekee ndiyo inaruhusiwa kutumia wachezaji wa kigeni Ngao ya Jamii

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
19CAC2A6-3381-4AF9-8FC4-11885B5436D7.jpeg

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
 
Lakini, kwanini TFF wanatoa hii taarifa few hours kabla ya mechi? Naamini walikuwa na muda wa kuvikumbusha hivi vilabu hata kwa wiki moja kabla.
Wakumbushwe kwani hawajui hizi taratibu mkuu, hao wenzao waliopeleka vibali wamekumbushwa na nani?? Tukubali tu hivi vilabu vyetu vikuu kuna mambo ya msingi wana miss kazi kushindana nani wa kwanza kufanya hili nani wa kwanza kufanya lile, inatia hasira kwa kweli.
 
Ni kwel viongoz wa hiz timu zetu wanazingua sana lakin huyu ambaye ndio baba wa mpira tff kwann asitoe huu waraka wake wa ki ma.ku toka juzi ili sisi mashabiki tuwamaind viongozi wetu???
 
Halafu nisichowaelewa TFF wanamaanisha Nini wanaposema vibali wanamaanisha vibali vya kufanya kazi nchini? Kama ni vibali vya kufanya kazi mbona hao tayari wameshaanza kufanya kazi..si tuliwaona wanacheza kwenye Simba day; Siku ya mwananchi na Singida day..au? Kwani hao wachezaji wa kigeni kwenye hizo mechi si walikuwa kazini.
 
Back
Top Bottom