Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Umejihami mapema, maana ninayo nukuu ya kiongozi wa Yanga jinsi alivyofanya juhudi kumbakisha FeisalWananchi kwa maana ya Wanachama walishamchoka Feisal, na walitaka aondoke, labda kama unawazungumzia Viongozi ambao ni watu wa kupita.