Azam FC pekee ndiyo inaruhusiwa kutumia wachezaji wa kigeni Ngao ya Jamii

Azam FC pekee ndiyo inaruhusiwa kutumia wachezaji wa kigeni Ngao ya Jamii

Nawaona madunduka wanavyolalamika..hahahahahahahahahahahh
 
Utashaangaa ikifika saa kumi wanatoa tangazo lingine kuwa,vibali vimewafikia,wachezaji wameruhusiwa kucheza
Saa kumi mbona mbali? Tayari huko.
IMG-20230809-WA0018.jpg
 
Lile dubwana lenye tumbo pale tfff linaumiza sana huu mpira
Sasa hapo hilo dubwaana lina kosa gani ? Kwani viongozi wa hivi vilabu walikuwa hawajui kwamba wachezaji wao wanahitaji vibali ili wacheze?
 
Acha kujifariji, mambo yanaamriwa juu serikalini, wananchi wanafuata tu wapende wasipende
Nenda tena kwenye Page ya TFF sasa hivi... Nilisema Yanga ndo Serikali, hutaki unaacha.
 
Back
Top Bottom