Azam FC pekee ndiyo inaruhusiwa kutumia wachezaji wa kigeni Ngao ya Jamii

Azam FC pekee ndiyo inaruhusiwa kutumia wachezaji wa kigeni Ngao ya Jamii

Nenda tena kwenye Page ya TFF sasa hivi... Nilisema Yanga ndo Serikali, hutaki unaacha.
Nimeona taarifa sasahivi saa 7 na dk 43 mchana Azam tv dondoo za michezo, Yanga wamesha kamilisha taratibu zote za vibali vya wachezaji wa kigeni.
 
TFF wapo sahihi sana.

Kwa hili wala hawahitaji lawama.
 
Lakini, kwanini TFF wanatoa hii taarifa few hours kabla ya mechi? Naamini walikuwa na muda wa kuvikumbusha hivi vilabu hata kwa wiki moja kabla.
Hao tifutifu ni sawa na trafiki, hujificha makusudi ili dereva afanye makosa aweze kumkamata na kupata elfu tano za kufutia viatu vumbi.
 
Wakumbushwe kwani hawajui hizi taratibu mkuu, hao wenzao waliopeleka vibali wamekumbushwa na nani?? Tukubali tu hivi vilabu vyetu vikuu kuna mambo ya msingi wana miss kazi kushindana nani wa kwanza kufanya hili nani wa kwanza kufanya lile, inatia hasira kwa kweli.
Kuwasilisha vibali kwa dunia ya leo mbona faster!!!! Kwani "email with relevant attahments" inachukua muda gani kufika TFF!! Hata dakika 15 kabla ya mechi tukio hilo linaweza kufanyika, ili maadam ni ndani ya masaa ya kazi!!
 
Basi tufanye washiriki tff na azam sisi turudi dar kuendelea na maandaliz ya msimu
 
Wananchi waligoma kumuachia Feisal, serikali ikatoa amri. Sasa sijui bado unaamini wananchi ndio wenye serikali!
Wananchi kwa maana ya Wanachama walishamchoka Feisal, na walitaka aondoke, labda kama unawazungumzia Viongozi ambao ni watu wa kupita.
 
Back
Top Bottom