Nimeona taarifa sasahivi saa 7 na dk 43 mchana Azam tv dondoo za michezo, Yanga wamesha kamilisha taratibu zote za vibali vya wachezaji wa kigeni.Nenda tena kwenye Page ya TFF sasa hivi... Nilisema Yanga ndo Serikali, hutaki unaacha.
Hahaha hahaha heshima yako mkuuWe subiri mpira huo ujinga wa Tff achana nao, hakuna taasisi ya kuzuia Yanga na Simba ,zaidi ya serikali yenyewe
Hao tifutifu ni sawa na trafiki, hujificha makusudi ili dereva afanye makosa aweze kumkamata na kupata elfu tano za kufutia viatu vumbi.Lakini, kwanini TFF wanatoa hii taarifa few hours kabla ya mechi? Naamini walikuwa na muda wa kuvikumbusha hivi vilabu hata kwa wiki moja kabla.
Kwa hiyo hapo aliyetii amri ni nani, Yanga au TFF ? 😁Nenda tena kwenye Page ya TFF sasa hivi... Nilisema Yanga ndo Serikali, hutaki unaacha.
Nimechoka..nilichosema hapo awali kimetimia.. TFF wanatafuta kickSaa kumi mbona mbali? Tayari huko.View attachment 2712561
AahaaaInapigwa Simu toka juu kwenda Uhamiaji, then to TFF, Wachezaji wote wa Kigeni wa Yanga wanacheza.....!
Yanga ndo Serikali.
Kwema mkuu
Wanaandaa mazingira ya kuvuta kitu kidogo!! mjini shule!!
Kuwasilisha vibali kwa dunia ya leo mbona faster!!!! Kwani "email with relevant attahments" inachukua muda gani kufika TFF!! Hata dakika 15 kabla ya mechi tukio hilo linaweza kufanyika, ili maadam ni ndani ya masaa ya kazi!!Wakumbushwe kwani hawajui hizi taratibu mkuu, hao wenzao waliopeleka vibali wamekumbushwa na nani?? Tukubali tu hivi vilabu vyetu vikuu kuna mambo ya msingi wana miss kazi kushindana nani wa kwanza kufanya hili nani wa kwanza kufanya lile, inatia hasira kwa kweli.
Huujui mpira wa Tanzania…Watakatiwa rufaa mapema tu
Nipewe maua yanguJioni ya leo hao akina Skudu na wenzake watacheza tu🤣
Soka letu kivyetuvyetu
Mkuu Story ya Amiri ilikuwa kali sana. MaliziaDiarra ni kipa wa Singida? Au Yanga imekukaa sana kichwani.
Wananchi kwa maana ya Wanachama walishamchoka Feisal, na walitaka aondoke, labda kama unawazungumzia Viongozi ambao ni watu wa kupita.Wananchi waligoma kumuachia Feisal, serikali ikatoa amri. Sasa sijui bado unaamini wananchi ndio wenye serikali!
Yanga walisha apply siku nyingi Uhamiaji.....Kwa hiyo hapo aliyetii amri ni nani, Yanga au TFF ? 😁