Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Aug 10, 2023 #61 kidonto said: Wananchi kwa maana ya Wanachama walishamchoka Feisal, na walitaka aondoke, labda kama unawazungumzia Viongozi ambao ni watu wa kupita. Click to expand... Umejihami mapema, maana ninayo nukuu ya kiongozi wa Yanga jinsi alivyofanya juhudi kumbakisha Feisal
kidonto said: Wananchi kwa maana ya Wanachama walishamchoka Feisal, na walitaka aondoke, labda kama unawazungumzia Viongozi ambao ni watu wa kupita. Click to expand... Umejihami mapema, maana ninayo nukuu ya kiongozi wa Yanga jinsi alivyofanya juhudi kumbakisha Feisal
kidonto JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 1,961 Reaction score 2,918 Aug 10, 2023 #62 Lupweko said: Umejihami mapema, maana ninayo nukuu ya kiongozi wa Yanga jinsi alivyofanya juhudi kumbakisha Feisal Click to expand... Sasa wewe unazungumzia Viongozi, kwani mm nimesema nini...!? Nimesema kama unazungumzia Viongozi sawa, ila Wananchi kwa maana ya Mashabiki walishamchoka Feisla walitaka aondoke! Hakunaga Mchezaji ama Kocha popote pale akabaki salama kama Wanachama hawamtaki tena!
Lupweko said: Umejihami mapema, maana ninayo nukuu ya kiongozi wa Yanga jinsi alivyofanya juhudi kumbakisha Feisal Click to expand... Sasa wewe unazungumzia Viongozi, kwani mm nimesema nini...!? Nimesema kama unazungumzia Viongozi sawa, ila Wananchi kwa maana ya Mashabiki walishamchoka Feisla walitaka aondoke! Hakunaga Mchezaji ama Kocha popote pale akabaki salama kama Wanachama hawamtaki tena!
Village-in JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 2,184 Reaction score 4,517 Aug 10, 2023 #63 Carasco Putin said: KIBU DE MTOMBANGILE YUPO KIBOKO Y diara mchumia tumbo Click to expand... Ndio nini?
Carasco Putin said: KIBU DE MTOMBANGILE YUPO KIBOKO Y diara mchumia tumbo Click to expand... Ndio nini?
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Aug 10, 2023 #64 Smart codetz said: View attachment 2712511 Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Click to expand... Hivi TFF huwa inawabeba kirahisi hivi wapenzi wa soka Kwa nini? Hiki ni kikundi cha Wahuni kisikuchanganye.
Smart codetz said: View attachment 2712511 Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Click to expand... Hivi TFF huwa inawabeba kirahisi hivi wapenzi wa soka Kwa nini? Hiki ni kikundi cha Wahuni kisikuchanganye.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Aug 10, 2023 #65 Greatest Of All Time said: Jioni ya leo hao akina Skudu na wenzake watacheza tu[emoji1787] Soka letu kivyetuvyetu Click to expand... Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kufunga dirisha la ndani la usajili August 31?
Greatest Of All Time said: Jioni ya leo hao akina Skudu na wenzake watacheza tu[emoji1787] Soka letu kivyetuvyetu Click to expand... Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kufunga dirisha la ndani la usajili August 31?