Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

Azam fc nilikuwa nawapa sana credit. Ila kwa uhuni walioufanya kwa huyu dogo na pia kwa klabu ya Yanga; hakika nimewadharau sana.

Maana wangetumia njia kama hii ya mazungumzo, wala huyu dogo asingekaa miezi 6 nje ya uwanja.
Unadhan utopolo wangekubal kumuuza???


Lkn dogo alishaweka wazi kuwa ana nongwa na chawa wa Ghaarib na hatofanya kazi chin ya uongoz wake kattu abadan
 
Uliza ya jikoni kaka, usilolijua ni sawa na usiku wa giza
 
Azam fc nilikuwa nawapa sana credit. Ila kwa uhuni walioufanya kwa huyu dogo na pia kwa klabu ya Yanga; hakika nimewadharau sana.

Maana wangetumia njia kama hii ya mazungumzo, wala huyu dogo asingekaa miezi 6 nje ya uwanja.
Wangetumia njia halali wasingempata kwa bei waliyompatia
 
Una akili timamu wewe?, Kutoka 100M mpaka 270m yanga ndio wameufyata?.
Kwa taarifa yako fei kaondoka bure, hiyo 270 hata yanga wenyewe hawajaisema
 
Bora hili la Fei kubwa limeisha warubuni wamejulikana. Utopolo tuwe makini Sasa hasa kwa Mayele, goal Scoring Machine ambae Simba wanafanya figisu Ili Saidoo eti awe top scorer, goli 5 mechi moja? Netboli?

Mjadala sasa ufungwe tuzungumze Yanga kushiriki klabu bingwa Ili mbumbumbu wafunge midomo next season. Ikumbukwe Yanga Ina kombe la NBC premier league second season lengo ni kulitwaa for ten seasons.
 
Tunamshukuru kwa Muda wake na mchango wake katika klabu yetu

Hakuna mkubwa kuliko club, Kila la heri huko kwenye changamoto mpya
 
Tunamshukuru kwa Muda wake na mchango wake katika klabu yetu

Hakuna mkubwa kuliko club, Kila la heri huko kwenye changamoto mpya
Kumbe mzee wa mubashara wewe ni uto? Pole sana mwamba, turudi chimbo tukamuibue Fei mwingine tuwanyamazishe hawa vidomodomo 🤣😂🤣
 
Kumbe mzee wa mubashara wewe ni uto? Pole sana mwamba, turudi chimbo tukamuibue Fei mwingine tuwanyamazishe hawa vidomodomo [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Atakuja mchezaji mwingine kama au zaidi ya Fei, ni suala la muda tu
 
Utopolo ndio wamekubali rasmi kukalishwa na Fei, yule Hersi ana kisirani kibaya sana.
 
MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
 
Na wameshinda ivyo ivyo gizani
Yeah, ila naona ni win win situation sababu mchezaji hajaenda bure, na katika sababu moja wapo Yanga walichokuwa wanakitaka ni team inayomtaka itoke hadharani na sio kuzunguka gizani kumrubuni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…