Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Unadhan utopolo wangekubal kumuuza???Azam fc nilikuwa nawapa sana credit. Ila kwa uhuni walioufanya kwa huyu dogo na pia kwa klabu ya Yanga; hakika nimewadharau sana.
Maana wangetumia njia kama hii ya mazungumzo, wala huyu dogo asingekaa miezi 6 nje ya uwanja.
Lkn dogo alishaweka wazi kuwa ana nongwa na chawa wa Ghaarib na hatofanya kazi chin ya uongoz wake kattu abadan