Azam Federation Cup: Yanga yatupwa nje ya mashindano baada ya kutandikwa magoli 2-0 na Lipuli

Scout wa lipuli wanamtingisha Zahera leo atasema wamemloga ndipo tutamjua vizuri kama ana akili sawasawa
 
Ila simba jamani kila mechi wanaihujumu Yanga daah
 
Imebaki dakika 1 lolote laweza kutokea tujipe moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…