Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya kitonga, isingewezekana ata kidogo.
Wameweka mpunga na jambo limekamilika aluta continua mapambano yanaendelea!
Wameweka mpunga na jambo limekamilika aluta continua mapambano yanaendelea!