Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Labda aje kuangalia. Maana akijaribu kucheza ataishia kutapika tu urojo wote aliokunywa ndani ya miezi yake sita ya kuishi mafichoni.kwahiyo tar 12 kwenye fianali atakuwepo!? Basi sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda aje kuangalia. Maana akijaribu kucheza ataishia kutapika tu urojo wote aliokunywa ndani ya miezi yake sita ya kuishi mafichoni.kwahiyo tar 12 kwenye fianali atakuwepo!? Basi sawa.
Sio Tanzania hii, hakuna namna Yanga wanaweza kucontrol maisha ya Fei wakishaachana nae.Makubaliano ya kimkataba waliyopewa azam ni ngumu kumuuza ndani ya nchi endapo watataka option ni kumuuza nje ya nchi na sio vinginevyo!
Yanga "wanachukua" ?haiwezekani aondoke unavyodhani wewe yanga wamemuuza kwa azam japo kwa mkopo azam watalipa deni hilo kwa awamu 2 na tayari yanga wanachukua mtu azam ambae amekataa kuendelea huko azam
Fei si alikuwa aanagoma kuja HQ kujadiri sualaa lake, sasa imekuwaje akakubali kuja.Kapoteza Ego,alishawahi mjibu Fei aende Pemba.Pia Hersi alikuwa amekamia kumkomesha Fei.Sasa Fei kashinda.
Binti Kazumari kazini 😂😂😂. Roho yako mbaya itakuuwa wewe. Kwa taarifa yako watu washakunja mkwanja wao na biashara imefungwa, wewe endelea kupinga wala hata haikusaidii loloteUna uhakika wameweka mpunga wowote? Waweke pesa yoyote ya maana wakati wanajua Yanga wamepewa shinikizo kulimaliza suala lake? Sanasana ambacho mnaweza kuwa mmeambulia ni ile ile milioni 100 mliyopewa mwanzo mkairudisha.
Kwa taarifa yako labda nikutoe tongo tongo machoni, dau walilokamuliwa Azam kuvunja mkataba ni 270milioni, akuna vya bure kama mlivyotegemea, iyo 112 unayosema wewe labda wakamnunue chama uko kwenu!Hapo waongezee na ile 12 ya mishahara ya miezi mitatu ambayo ndio 112m azam inadaiwa walimpa fei ili akavunje mkataba.
Azam hawana akili ya kitoto kutoa hela zaid ya hiyo.
Wanajua kabisa kwa mzozo uliopo Fei toto hawezi kugharamikiwa zaidi 112m kwa hao yanga
Uongo mtupuuu, hajauzwaaaa.Yaap mshindi ni Fei wamemuuza Kwa 270m
Hilo tongo tongo jitoe mwenyewe utopolo.Kwa taarifa yako labda nikutoe tongo tongo machoni, dau walilokamuliwa Azam kuvunja mkataba ni 270milioni, akuna vya bure kama mlivyotegemea, iyo 112 unayosema wewe labda wakamnunue chama uko kwenu!
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]wamemtoa Bure wamefidia zile gharama za wali na ndege[emoji4]?Uongo mtupuuu, hajauzwaaaa.
Ndo maana ake.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]wamemtoa Bure wamefidia zile gharama za wali na ndege[emoji4]?