Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

Ombi la Mh. Raisi ni agizo, tuko tayari kumpoteza ata Mayele lakini tupewe uwanja Kariakoo, tujenge a State of Art Stadium. Mtakuja kujua hamjui
 
Mie nilimchangia feitoto,wala hainiumi,manake nilikuwa naumia kuona wanamwonea dogo na kutaka kumwaribia career yake🙏Mungu mkubwa
Acha waongee waliochanga,wewe unaumia nini na pesa walizochanga wengine wakati hukutoa hata shilingi mia?
 
Si ndiyo ile milioni 110. Kumbuka pia mkataba unamruhusu kuuvunja mwishoni mwa msimu na msimu ndiyo huu unaisha.

Ninaona uwezekano mkubwa kwa Feisal kuondoka bila kulipa hata hiyo milioni 100 maana mlishaingiza siasa za kulipana fadhila na kulishana ubwabwa.
Feisali saizi hata akisema ile 112M niliitumia bado mkataba unaweza kuvunjika

Yani stage tuliyofikia saizi ni kwamba Feisali ndio anaombwa ili hilo zoezi lifanikiwe
 
Fei hata angetolewa bure ni sawa tu kwani muda sio mrefu ataisha kimpira lakini Yanga watapata ardhi ambayo thamani haitaisha milele.
 
Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya kitonga, isingewezekana ata kidogo.

Wameweka mpunga na jambo limekamilika aluta continua mapambano yanaendelea!
walilikoroga tungewanywesha huku tukiwasindikizia na mibao ya uso ***** zao,wametoa hawajatoa sasa!!!
 
Feisali saizi hata akisema ile 112M niliitumia bado mkataba unaweza kuvunjika

Yani stage tuliyofikia saizi ni kwamba Feisali ndio anaombwa ili hilo zoezi lifanikiwe
Wanadhani hii hali iliyowakuta hatuwezi kuisoma. Ile 112M Yanga wenyewe wanamwambia Feisal wala asijali kuirudisha maana wanajua mambo yao ya kumwambia watamrudisha Pemba zimeshamfikia Mama.
 
Ombi la Mh. Raisi ni agizo, tuko tayari kumpoteza ata Mayele lakini tupewe uwanja Kariakoo, tujenge a State of Art Stadium. Mtakuja kujua hamjui
Kajengeni hiyo state of the art stadium kule kigamboni kwenye uwanja mliopewa na makonda
 
Mama Yanga Aliposema Tu Mnataka Ardhi Acheni Huyo Feisal Aende Atakapo Yanga Wamefyata Mikia Kimya Pumzi Imeisha Yote
Hii ni Win to Win Situation.

Mama anatoa kipande cha ardhi ya Tanzania chenye thamani zaidi ya thamaani ya pesa ambayo Klabu ingemuuza Feisal.
 
Kapoteza Ego,alishawahi mjibu Fei aende Pemba.Pia Hersi alikuwa amekamia kumkomesha Fei.Sasa Fei kashinda.
Fei si alikuwa aanagoma kuja HQ kujadiri sualaa lake, sasa imekuwaje akakubali kuja.

Si ndio yeye aliye andikiwa barua kukaribishwa mezani ili mazungumzo yaanze...?
 
Fei si alikuwa aanagoma kuja HQ kujadiri sualaa lake, sasa imekuwaje akakubali kuja.

Si ndio yeye aliye andikiwa barua kukaribishwa mezani ili mazungumzo yaanze...?
Alikuwa anagoma kuja alijua adui yake mkuu ndo rais wa Yanga,hapo ni dhahiri kuwa asingepata hitaji lake.Kwa vile No 1 wa nchi kasema,no way Msomali kasalimu amri.
 
Back
Top Bottom