Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya kitonga, isingewezekana ata kidogo.

Wameweka mpunga na jambo limekamilika aluta continua mapambano yanaendelea!
azam na fei karma itawatafuna
 
Si ndiyo ile milioni 110. Kumbuka pia mkataba unamruhusu kuuvunja mwishoni mwa msimu na msimu ndiyo huu unaisha.

Ninaona uwezekano mkubwa kwa Feisal kuondoka bila kulipa hata hiyo milioni 100 maana mlishaingiza siasa za kulipana fadhila na kulishana ubwabwa.
haiwezekani aondoke unavyodhani wewe yanga wamemuuza kwa azam japo kwa mkopo azam watalipa deni hilo kwa awamu 2 na tayari yanga wanachukua mtu azam ambae amekataa kuendelea huko azam
 
Feisal na siyo Yanga ndiyo ameshika mpini kwenye hili suala. Kesi ipo CAS, kesi ipo Ikulu, kuna majadiliano tena hapo?
 
Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya kitonga, isingewezekana ata kidogo.

Wameweka mpunga na jambo limekamilika aluta continua mapambano yanaendelea
Azam ya Mzanzibari, feitoto Mzanzibari na Samia Mzanzibari. Hakika hawa jamaa kwa kubebana hàtuwawezi
 
Una uhakika wameweka mpunga wowote? Waweke pesa yoyote ya maana wakati wanajua Yanga wamepewa shinikizo kulimaliza suala lake? Sanasana ambacho mnaweza kuwa mmeambulia ni ile ile milioni 100 mliyopewa mwanzo mkairudisha.
Hapo waongezee na ile 12 ya mishahara ya miezi mitatu ambayo ndio 112m azam inadaiwa walimpa fei ili akavunje mkataba.
Azam hawana akili ya kitoto kutoa hela zaid ya hiyo.
Wanajua kabisa kwa mzozo uliopo Fei toto hawezi kugharamikiwa zaidi 112m kwa hao yanga
 
Una uhakika wameweka mpunga wowote? Waweke pesa yoyote ya maana wakati wanajua Yanga wamepewa shinikizo kulimaliza suala lake? Sanasana ambacho mnaweza kuwa mmeambulia ni ile ile milioni 100 mliyopewa mwanzo mkairudisha.
Nilijua lazima uje ubishe
 
Back
Top Bottom