Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

Eti milioni 350, ili msimuache kinyonge mnaanza kutajataja tu figaz. Manasahau mlisema bila bilioni 1 haondoki.
Tangu jana anatuimbia hizi ngonjera zake za 350M,wakati tunajua fika katika hili Yanga baada ya 'ombi' la Mama hiyo jeuri hawakuwa nayo tena zaidi ya kumwachia kwa masharti nafuu kabisa.
 
Kashinda kwa mbeleko ya mama kutoka Zenj! Angeachwa aende CAS tuone mwisho wake!
Kushinda ni kushinda tu,haijalishi ni kwa mbeleko au kwa mbinu nyingine.Kikubwa ameshinda na amepata alichokitaka nacho ni kuondoka Jangwani na ngebe za Hersi za kutaka kumkomoa zimefail.
 
waliochanga watarudishiwa pesa zao? hii nchi Ina wapumbavu wengi sana
 
Ng'eng'enge🤣🤣kiko wapi?kiko wapiiii?msomali hawezi mshinda raia hata siku moja🙏pyee utopolo kimelala kwenu🏌️🤺
 
Kushinda ni kushinda tu,haijalishi ni kwa mbeleko au kwa mbinu nyingine.Kikubwa ameshinda na amepata alichokitaka nacho ni kuondoka Jangwani na ngebe za Hersi za kutaka kumkomoa zimefail.
Hongera kwa feitoto,Mungu amtangulie, finally dogo ataanza Kula baga badala ya ugali na sukari🔥🔥
 
Kama hii taarifa ni kweli vipi kuhusu michango yetu, ndo tumezimwa au??

Au kisa sisi ni changachanga fc ndo Feidogo akatumia hilo gape tumchangie??
Uwanja tulichanga Holaa, Feidogo tumemchangia nae anatuingiza cha kike.
 
Kama amefuata taratibu za kuvunja mkata na wamekaa mezani kufikia muhafaka safi ,Kila la kheri Amijei ,mambo ya janjajanja hayafai.
 
Kama hii taarifa ni kweli vipi kuhusu michango yetu, ndo tumezimwa au??

Au kisa sisi ni changachanga fc ndo Feidogo akatumia hilo gape tumchangie??
Uwanja tulichanga Holaa, Feidogo tumemchangia nae anatuingiza cha kike.
Acha waongee waliochanga,wewe unaumia nini na pesa walizochanga wengine wakati hukutoa hata shilingi mia?
 
Una uhakika wameweka mpunga wowote? Waweke pesa yoyote ya maana wakati wanajua Yanga wamepewa shinikizo kulimaliza suala lake? Sanasana ambacho mnaweza kuwa mmeambulia ni ile ile milioni 100 mliyopewa mwanzo mkairudisha.
Wamepata 112M kulingana kifungu cha mkatabaa.
Wala wasitudanganyee hapaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
haiwezekani aondoke unavyodhani wewe yanga wamemuuza kwa azam japo kwa mkopo azam watalipa deni hilo kwa awamu 2 na tayari yanga wanachukua mtu azam ambae amekataa kuendelea huko azam
Achaa uongo hajauzwaa, mkataba wake umevunjwa kulingana na kanuni zilizopo ndani ya mkataba huo.

Msidhani watu ni wajinga, mliambiwa kumalizana na Fei, sio Azam kumnunua.
Woiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alitaka kujifanya yeye ndiyo mfumo kisa yuko pale Yanga kwa mgongo wa Boss wake Ghalib akajisahau kuwa kwao ni Mogadishu.Wenye mamlaka wametoa 'ombi' moja tu,msomali chali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ng'eng'enge[emoji1787][emoji1787]kiko wapi?kiko wapiiii?msomali hawezi mshinda raia hata siku moja[emoji120]pyee utopolo kimelala kwenu[emoji2506][emoji1733]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom