Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Sijui kwanini walishindwa kwenda front mpaka likawa zengwe cha msingi liishieNi dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya kitonga, isingewezekana ata kidogo,
Wameweka mpunga na jambo limekamilika aluta continua mapambano yanaendelea!
Sijui kwanini walishindwa kwenda front mpaka likawa zengwe cha msingi liishie
Kaondoka bure furahi sasaUna uhakika wameweka mpunga wowote? Waweke pesa yoyote ya maana wakati wanajua Yanga wamepewa shinikizo kulimaliza suala lake? Sanasana ambacho mnaweza kuwa mmeambulia ni ile ile milioni 100 mliyopewa mwanzo mkairudisha.
well said bi dadaIngekua ndo Simba imemnunua pasingekalika mjini..
Baadae atakuja ibukia Mbumbumbu FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC.Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya kitonga, isingewezekana ata kidogo,
Wameweka mpunga na jambo limekamilika aluta continua mapambano yanaendelea!
Hakika..hao vyura wangeongea sana..We) well said bi dada
Acha wehu wewe, usiwe na mihemko inayokuzidi kwa vitu usivyovijua wala kuelewa, Azam wameweka pesa si chini ya 350milioni kuvunja mkataba wake, habari ndiyo iyo!Una uhakika wameweka mpunga wowote? Waweke pesa yoyote ya maana wakati wanajua Yanga wamepewa shinikizo kulimaliza suala lake? Sanasana ambacho mnaweza kuwa mmeambulia ni ile ile milioni 100 mliyopewa mwanzo mkairudisha.
Makubaliano ya kimkataba waliyopewa azam ni ngumu kumuuza ndani ya nchi endapo watataka option ni kumuuza nje ya nchi na sio vinginevyo!Baadae atakuja ibukia Mbumbumbu FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC.
Makubaliano ya kimkataba waliyopewa azam ni ngumu kumuuza ndani ya nchi endapo watataka option ni kumuuza nje ya nchi na sio vinginevyo!Baadae atakuja ibukia Mbumbumbu FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC.
Hizi ndizo akili za wajinga, Hersi kapoteza nini labda tuelezeWazanzibari 3 ,Tanganyika 1 ,Somalia 0.
Wazanzibari wameshinda Mama,Azam na Fei Toto.
Huyo Hersi msomali kapata zero.
Watampa simba kwa mkopo😅Makubaliano ya kimkataba waliyopewa azam ni ngumu kumuuza ndani ya nchi endapo watataka option ni kumuuza nje ya nchi na sio vinginevyo!
Eti milioni 350, ili msimuache kinyonge mnaanza kutajataja tu figaz. Manasahau mlisema bila bilioni 1 haondoki.Acha wehu wewe, usiwe na mihemko inayokuzidi kwa vitu usivyovijua wala kuelewa, Azam wameweka pesa si chini ya 350milioni kuvunja mkataba wake, habari ndiyo iyo!