Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

Nimepokea ujumbe kutoka Azam kupitia simu yangu kuwa bei za vifurushi zitapanda kuanzia tarehe 1 April.

"Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000." Azam Tv.

Vv
 
Huyu mzee anatamaa za ki k sana, yaani kashindwa kubuni miradi mingine mpk atunyonye huku?anajiona sijui,MAMA tusaidie hawa matajiri wanaanza kutumaliza
 
Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000.

Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
Sio mbaya mbn Bia zikipanda bado mnakunywa
 
Back
Top Bottom