Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000.

Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
Sawa Mzee SSB.... Kazi na iendelee
 
Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000.

Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
Itakuwa hakuna jipya,maana ilikuwa elf 23 kabla ya kushuka 20.......
 
sio mbaya sana ndugu zangu,sio ongezeko kuubwa la mtu mwenye kupambana kushindwa kumudu kulipa,tena kuna kifurushi mpaka cha buku.
 
Weee utakuwa fisadi tu.... sio Mzalendo... pia sio Mnyonge.... hii nchi ni yetu sie wanyonge
Kwanini? Kifurushi cha juu kilikuwa 35 ndo nauliza imekuaje au hakipo tena? Msg waliyotuma haieleweki
 
Nimetumiwa sms na AzamTv muda si mrefu kuwa kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi kwanzia mwezi April.

Kifurushi pendwa cha 20,000 sasa kitakuwa 23,000.

9B2C0310-3990-4329-97F7-33595EC00BD9.jpeg

1CF184F5-14CE-4C98-B305-847EEAECF572.jpeg

FA4AA839-E86E-456D-8705-046F1F198423.jpeg
 
ningepata pa kumuangalia mzee bairum ningeachana na hiki king’amuzi
 
Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000.

Nimepata msg yao pia.........
 
Mama anaupiga mwingi.
Rasmi sasa tozo kuingia kwenye vifurushi.
 
Huyu mzee anatamaa za ki k sana,yaani kashindwa kubuni miradi mingine mpk atunyonye huku?anajiona sijui,MAMA tusaidie hawa matajiri wanaanza kutumaliza
Mama Na Mzee wanatoka kumoja (sijui wapi), Mpaka Mzee anaamua kupandisha hivi ana baraka zote za Mama yake au Wasaidizi wa Mama yake. Ki ukweli kama nchi tuko kwenye wakati mgumu sana kipindi hiki, Mungu atunusuru tu.

Nawaza mpaka term iishe vitakua vimepanda vingapi. Nimetoka kulalamikia kupanda Kwa mafuta na mbolea nakutana na kupanda Kwa vifurushi. Nasema tena Kazi Iendelee mpaka tujuane kiundani zaidi.
 
Back
Top Bottom