AZAM MEDIA tafuteni njia nzuri za kurecord mechi katika uwanja wa UHURU, angle mnazo-record ni za ovyo

View ilikua mbaya nanlile pira papatu papatu la makolo me niliishia half time tu kuangalia mpira
 
Ivi mnaangalia usiku wa TUNZO, AZAM MEDIA ni wa hovyo,
View mbovu, sauti hovyo, watangazaji hovyo.
πŸ™Œ
 
TUNZO za Filamu, Sina hamu na mpira.
Kanji kanipa kichapo heavy
Yanga timu nisiyoipenda ulimwenguni imeshinda na mpira mzuri.
Ahaa. Usibeti kwa mapenzi yako binafsi, beti kwa uhalisia wa mechi. Hivi bado wanatengeneza filamu nchi hii?
 
Nilimwuliza Mkurugenzi wa Azam TV kwa nini wanatuletea matangazao ya hovyo akaniambia kuwa Uwanja wa Uhuru unatazamana na kambi za jeshi kwa hiyo Jeshi linawazuia waseelekeza kamera zao kuliko kambi, ndiyo maan kamera hizo zinatazama upande mmoja tu. Nikawelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…