Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
View ilikua mbaya nanlile pira papatu papatu la makolo me niliishia half time tu kuangalia mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TUNZO gani na wewe?Ivi mnaangalia usiku wa TUNZO, AZAM MEDIA ni wa hovyo,
View mbovu, sauti hovyo, watangazaji hovyo.
🙌
TUNZO za Filamu, Sina hamu na mpira.TUNZO gani na wewe?
Ahaa. Usibeti kwa mapenzi yako binafsi, beti kwa uhalisia wa mechi. Hivi bado wanatengeneza filamu nchi hii?TUNZO za Filamu, Sina hamu na mpira.
Kanji kanipa kichapo heavy
Yanga timu nisiyoipenda ulimwenguni imeshinda na mpira mzuri.
Sauti mbovu angle ya kamera nayo tabu tupu, nadhani kuna kamera mbili tu hapa.Ivi mnaangalia usiku wa TUNZO, AZAM MEDIA ni wa hovyo,
View mbovu, sauti hovyo, watangazaji hovyo.
🙌
Nilimwuliza Mkurugenzi wa Azam TV kwa nini wanatuletea matangazao ya hovyo akaniambia kuwa Uwanja wa Uhuru unatazamana na kambi za jeshi kwa hiyo Jeshi linawazuia waseelekeza kamera zao kuliko kambi, ndiyo maan kamera hizo zinatazama upande mmoja tu. Nikawelewa.Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya mpira katika uwanja wa uhuru uwezo wa kuona mechi vizuri.
Wito wangu kwa kampuni ya AZAM MEDIA ni kuwa muongeze idadi ya camera katika uwanja wa UHURU na pia mjitahidi kuweka camera zitakazorikodi kutoka juu ili tuuone uwanja katika ukubwa wake kama mechi za EPL na ligi nyingine barani ulaya.
Leo hii nadhani idadi ya camera zinazotumika kurecord matangazo mubashara ya mechi kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar hazizidi tatu na hakuna camera ya juu hata moja.