Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ile kauli ya afuate matakwa ya mkataba unadhani maana yake nini? Kwani Yanga walipokuwa wanawaambia mfuate mkataba mlikuwa mnasema nini??Ndo maisha Yalivyo, Yanga Acheni nogwa...
Azam hawana Mpango wa Kumng'ang'ania Dube Kama Yanga walivyofanya kwa Fei toto....!
Kwani Yanga haikuwa hivyo kwa Feisal?Kama kuna kipengere cha dau hilo kwenye mkataba si kumngangania
Hapana. Kama mkataba una thamani hiyo ni sawa kabisa Dube kulipa ilibawe huru. Mpira si biashara ya utumwa. Azam wapo sahihi kutokumng'ang'ania.Kudai dau la dola laki3 si kumng'ang'ania ?
Ilikuwa tofauti. Kasikilize mahojiano ya injinia na mahojiano ya Feisal. Raisi Samia ndo alirahisisha mambo.Kwani Yanga haikuwa hivyo kwa Feisal?
Over milioni 750? Kwa nini kwa Yanga hamkujari hayo?Hapana. Kama mkataba una thamani hiyo ni sawa kabisa Dube kulipa ilibawe huru. Mpira si biashara ya utumwa. Azam wapo sahihi kutokumng'ang'ania.
Kwani haiwezekani au ?? alipe hiyo pesa tuone kama Azam watamg'ang'ania.Hakuna mpira wa hivyo duniani tatizo ushabiki unawafanya hadi akili zinafyatuka timu ipo kati kati ya msimu anaibuka mchezaji anataka kuvunja mkataba uliona wapi hii kitu
inategemeana na mkataba unavyosema. Mfano, kuvunja mkataba wa Yanga na Feisal (na hata wachezaji wengine wengi tu wa Yanga) ni kwamba upande unaovunja unatakiwa urudishe hela ya usajili plus mishahara ya mchezaji ya miezi mitatu, ambapo kwa Feisal ilikuwa 100M za usajili plus 4M x 3 = 12M, jumla ikawa 112M. Sasa kama kuvuja mkataba Azam kuna sharti linalolazimisha zifike hizo $ 300,000, basi upande upande unaovunja ulipe hizo, hakuna namna!Kudai dau la dola laki3 si kumng'ang'ania ?
Na yanga pia walimwambia feisal afate utaratibu na awakumng'ang'ania, kwa maana iyo njia zilizotumika kwa feisal kuachiwa ndio hizo hizo zitumike kumuachia dubeHapana. Kama mkataba una thamani hiyo ni sawa kabisa Dube kulipa ilibawe huru. Mpira si biashara ya utumwa. Azam wapo sahihi kutokumng'ang'ania.
Ukubwa au udogo wa M750 unategemeana na thamani ya mkataba. Yanga hawakuwa wazi kama Azam walivyo wazi.Over milioni 750? Kwa nini kwa Yanga hamkujari hayo?
Upo sahihi kabisa.inategemeana na mkataba unavyosema. Mfano, kuvunja mkataba wa Yanga na Feisal (na hata wachezaji wengine wengi tu wa Yanga) ni kwamba upande unaovunja unatakiwa urudishe hela ya usajili plus mishahara ya mchezaji ya miezi mitatu, ambapo kwa Feisal ilikuwa 100M za usajili plus 4M x 3 = 12M, jumla ikawa 112M. Sasa kama kuvuja mkataba Azam kuna sharti linalolazimisha zifike hizo $ 300,000, basi upande upande unaovunja ulipe hizo, hakuna namna!
Ni lazima mikataba ifanane?Ukubwa au udogo wa M750 unategemeana na thamani ya mkataba. Yanga hawakuwa wazi kama Azam walivyo wazi.
Itajulikana tu mbele ya safari ikikosekana tutamchangia Kama ilivyokuwa kwa feisal alivyochangiwa kwenda fifainategemeana na mkataba unavyosema. Mfano, kuvunja mkataba wa Yanga na Feisal (na hata wachezaji wengine wengi tu wa Yanga) ni kwamba upande unaovunja unatakiwa urudishe hela ya usajili plus mishahara ya mchezaji ya miezi mitatu, ambapo kwa Feisal ilikuwa 100M za usajili plus 4M x 3 = 12M, jumla ikawa 112M. Sasa kama kuvuja mkataba Azam kuna sharti linalolazimisha zifike hizo $ 300,000, basi upande upande unaovunja ulipe hizo, hakuna namna!
Haikuwa hivyo tu. Ilikua ni lazima kuwe na mgogoro. Ule ulikua uhuni tu na kama si Kauli ya Rais wa JMT Fei asingetoboa.inategemeana na mkataba unavyosema. Mfano, kuvunja mkataba wa Yanga na Feisal (na hata wachezaji wengine wengi tu wa Yanga) ni kwamba upande unaovunja unatakiwa urudishe hela ya usajili plus mishahara ya mchezaji ya miezi mitatu, ambapo kwa Feisal ilikuwa 100M za usajili plus 4M x 3 = 12M, jumla ikawa 112M. Sasa kama kuvuja mkataba Azam kuna sharti linalolazimisha zifike hizo $ 300,000, basi upande upande unaovunja ulipe hizo, hakuna namna!
Yanga waliweka wazi kua atekeleze masharti ya kuvunja mkatabaUkubwa au udogo wa M750 unategemeana na thamani ya mkataba. Yanga hawakuwa wazi kama Azam walivyo wazi.
Hapana. Yanga walimwambia afuate utaratibu baada ya Fei kufuata utaratibu ambao Yanga hawakuafiki, ule wa kudeposit fedha. Baada ya hapo Fei hakujua ni utaratibu upi aufuate ndo makesi yakaanza na Yanga hawakusema wazi ni utaratibu gani wa kuufata. Azam wapo wazi kuwa lipa kiasi hichi.Na yanga pia walimwambia feisal afate utaratibu na awakumng'ang'ania, kwa maana iyo njia zilizotumika kwa feisal kuachiwa ndio hizo hizo zitumike kumuachia dube
Thamani ya mkataba sio mfanano wa mkataba.Ni lazima mikataba ifanane?
Feisal alikuwa sahihi, alifanya kulingana na mkataba wake, kuwa akihataji kuvunja alipe dau lake pamoja na mishahara ya miezi mitatu akafanya hivyo.Kuna watu walikua wanajua Feisal anakosea kwanjia anayo itumia ila kwakua waliamini akiondoka Yanga, Yanga ita athirika kwaiyo bila kujali maslai ya mpira kwa upanawake shinikizo likawekwa kubwa Sana ili Yanga ikomolewe.
Jambo likafanikiwa Feisal akaondoka, Sasa njia hii iliyotumiwa na Azam upo uwezekano wakatumia wachezaji wengi kwakua inaonekana inawezekana.
Jiandaeni kisaikolojia na wengine watafuatia tena kwa wale wachezji vipenzi vya mashabiki.
Kikombe kilekile alichokinywea Yanga kwa uchungu na wengine kwa namna Ile Ile watakinywea.
Tena ata bila ya maneno ya shombo ya kula ugali na sukari.