Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Ndo maisha Yalivyo, Yanga Acheni nogwa...

Azam hawana Mpango wa Kumng'ang'ania Dube Kama Yanga walivyofanya kwa Fei toto....!
Ile kauli ya afuate matakwa ya mkataba unadhani maana yake nini? Kwani Yanga walipokuwa wanawaambia mfuate mkataba mlikuwa mnasema nini??
 
Kuna watu walikua wanajua Feisal anakosea kwanjia anayo itumia ila kwakua waliamini akiondoka Yanga, Yanga ita athirika kwaiyo bila kujali maslai ya mpira kwa upanawake shinikizo likawekwa kubwa Sana ili Yanga ikomolewe.

Jambo likafanikiwa Feisal akaondoka, Sasa njia hii iliyotumiwa na Azam upo uwezekano wakatumia wachezaji wengi kwakua inaonekana inawezekana.

Jiandaeni kisaikolojia na wengine watafuatia tena kwa wale wachezji vipenzi vya mashabiki.
Kikombe kilekile alichokinywea Yanga kwa uchungu na wengine kwa namna Ile Ile watakinywea.
Tena ata bila ya maneno ya shombo ya kula ugali na sukari.
 
Kudai dau la dola laki3 si kumng'ang'ania ?
Hapana. Kama mkataba una thamani hiyo ni sawa kabisa Dube kulipa ilibawe huru. Mpira si biashara ya utumwa. Azam wapo sahihi kutokumng'ang'ania.
 
Over milioni 750? Kwa nini kwa Yanga hamkujari hayo?
 
Hakuna mpira wa hivyo duniani tatizo ushabiki unawafanya hadi akili zinafyatuka timu ipo kati kati ya msimu anaibuka mchezaji anataka kuvunja mkataba uliona wapi hii kitu
Kwani haiwezekani au ?? alipe hiyo pesa tuone kama Azam watamg'ang'ania.
 
Kudai dau la dola laki3 si kumng'ang'ania ?
inategemeana na mkataba unavyosema. Mfano, kuvunja mkataba wa Yanga na Feisal (na hata wachezaji wengine wengi tu wa Yanga) ni kwamba upande unaovunja unatakiwa urudishe hela ya usajili plus mishahara ya mchezaji ya miezi mitatu, ambapo kwa Feisal ilikuwa 100M za usajili plus 4M x 3 = 12M, jumla ikawa 112M. Sasa kama kuvuja mkataba Azam kuna sharti linalolazimisha zifike hizo $ 300,000, basi upande upande unaovunja ulipe hizo, hakuna namna!
 
Hapana. Kama mkataba una thamani hiyo ni sawa kabisa Dube kulipa ilibawe huru. Mpira si biashara ya utumwa. Azam wapo sahihi kutokumng'ang'ania.
Na yanga pia walimwambia feisal afate utaratibu na awakumng'ang'ania, kwa maana iyo njia zilizotumika kwa feisal kuachiwa ndio hizo hizo zitumike kumuachia dube
 
inategemeana na mkataba unavyosema. Mfano, kuvunja mkataba wa Yanga na Feisal (na hata wachezaji wengine wengi tu wa Yanga) ni kwamba upande unaovunja unatakiwa urudishe hela ya usajili plus mishahara ya mchezaji ya miezi mitatu, ambapo kwa Feisal ilikuwa 100M za usajili plus 4M x 3 = 12M, jumla ikawa 112M. Sasa kama kuvuja mkataba Azam kuna sharti linalolazimisha zifike hizo $ 300,000, basi upande upande unaovunja ulipe hizo, hakuna namna!
Upo sahihi kabisa.
 
Itajulikana tu mbele ya safari ikikosekana tutamchangia Kama ilivyokuwa kwa feisal alivyochangiwa kwenda fifa
 
inategemeana na mkataba unavyosema. Mfano, kuvunja mkataba wa Yanga na Feisal (na hata wachezaji wengine wengi tu wa Yanga) ni kwamba upande unaovunja unatakiwa urudishe hela ya usajili plus mishahara ya mchezaji ya miezi mitatu, ambapo kwa Feisal ilikuwa 100M za usajili plus 4M x 3 = 12M, jumla ikawa 112M. Sasa kama kuvuja mkataba Azam kuna sharti linalolazimisha zifike hizo $ 300,000, basi upande upande unaovunja ulipe hizo, hakuna namna!
Haikuwa hivyo tu. Ilikua ni lazima kuwe na mgogoro. Ule ulikua uhuni tu na kama si Kauli ya Rais wa JMT Fei asingetoboa.
 
Ukubwa au udogo wa M750 unategemeana na thamani ya mkataba. Yanga hawakuwa wazi kama Azam walivyo wazi.
Yanga waliweka wazi kua atekeleze masharti ya kuvunja mkataba
 
Na yanga pia walimwambia feisal afate utaratibu na awakumng'ang'ania, kwa maana iyo njia zilizotumika kwa feisal kuachiwa ndio hizo hizo zitumike kumuachia dube
Hapana. Yanga walimwambia afuate utaratibu baada ya Fei kufuata utaratibu ambao Yanga hawakuafiki, ule wa kudeposit fedha. Baada ya hapo Fei hakujua ni utaratibu upi aufuate ndo makesi yakaanza na Yanga hawakusema wazi ni utaratibu gani wa kuufata. Azam wapo wazi kuwa lipa kiasi hichi.
 
Kuna watu walikua wanajua Feisal anakosea kwanjia anayo itumia ila kwakua waliamini akiondoka Yanga, Yanga ita athirika kwaiyo bila kujali maslai ya mpira kwa upanawake shinikizo likawekwa kubwa Sana ili Yanga ikomolewe.

Jambo likafanikiwa Feisal akaondoka, Sasa njia hii iliyotumiwa na Azam upo uwezekano wakatumia wachezaji wengi kwakua inaonekana inawezekana.

Jiandaeni kisaikolojia na wengine watafuatia tena kwa wale wachezji vipenzi vya mashabiki.
Kikombe kilekile alichokinywea Yanga kwa uchungu na wengine kwa namna Ile Ile watakinywea.
Tena ata bila ya maneno ya shombo ya kula ugali na sukari.
Feisal alikuwa sahihi, alifanya kulingana na mkataba wake, kuwa akihataji kuvunja alipe dau lake pamoja na mishahara ya miezi mitatu akafanya hivyo.

Kitu TFF walichomkamata ni kuwa wanadai kanuni za kichampionship nimesahau tu kifungu ila nitakiweka.

Ni kuwa hakufuata taratibu ya kuwashirikisha TFF maana wao ndio wana haki ya kusimamia mkataba.

Feisal na wanasheria wake wakarudi mara ya pili na hoja kuwa, "mkataba ukivunjwa ndio umevunjwa hata kama kwa makosa ila kinachotakiwa ni adhabu apewe" na hii ni kadiri ya sheria za FIFA. TFF wakachomoa wakasema kwa mujibu wa sheria hapa bongo lazima TFF ishirikishwe hivyo hawakufuata taratibu, hivyo wafuate taratibu.

Feisal na wanasheria wake wakarudi mara ya tatu, mara hii waliaandika barua kwa TFF kama kanuni inavyoeleza ili wapate kibali cha kuvunja mkataba.

Maajabu wakasema maamuzi washatoa hivyo waende tu CAS

Unaona shida ilipokuwa ?
 
Back
Top Bottom