Azam mmeweka channel nyingi sana za kidini za akina kuhani Gregory,Koses na Rogatusi

Azam mmeweka channel nyingi sana za kidini za akina kuhani Gregory,Koses na Rogatusi

huyu alie lalamika ni mshenzi tu chuki ya udini inamtafuna hata dini ya uisilamu haijui hizo picha zinazo lushwa na azamu azina mahusiano na dini ya uwisilamu ni maigizo kama maigizo mengine tu sababu kaona waigizaji ni waarabu na mwenye kampuni ni mualabu tayali chuki ya uwisilamu imeanzia hapo,kweli waarabu mnawachukia sana pamoja na waisilamu lakini kodi zao mnazitaka
Mkuu ulisoma shule gani?
 
naongezea bado kodi wanayo kusanya na kulipa ni kubwa sana inawalipa walimu madwa nk hili uwe kafiri shariti uwe na chuki hata kama huna sababu ya kuchukia nchii hakuna kafiri alie ajiri vijana wengi kama hao wanao wachukia
Sorry, wew ni me au ke?
 
Wafuga majini mna maneno sana
weka picha ya hayo majini yano abudiwa,uelewa wako mdogo hili uwe mlokole au muabudu sanamu au kumuabu kiume yesu badala ya kumuabudu mungu wa kweli lazina upitie kwa hayo majidi hao wakina wanao jiita manabii na mitume wanatumia nguvu za kiza(majini) kaa nahuo ujinga wako
 
Wapi nimewachukia wakati ni wakwe wangu pia
chuki chuki chuki udini udini mnataka nasie tuwe kama nyiyi tuungane kumuabudu yesu mwana wa mariyamu hali ya kuwa huyo sio mungu na mamake sio mama wamugu chuki yenu iko hapo
 
Ama hakika nakerekwa na Azam tv kitendo Chao cha kujaza Channel nyingi za akina kuhani Gregory ama hakika inanikera yaani kama azam wasiponitelekezea hili nitauza king'amuzi cha Azam tv

Sijui kwanini Azam mna udini kiasi hiki mna upendeleo mkubwa kwa hii dini ya makuhani! Acheni hizo
Hao wenye hizo channel wanalipia hela nyingi kurusha matangazo yao via Azam decorder
 
Jeuri ya afya. Mzee dunia tunapita kaa chin mtafute mgonjwa uone anavyo tafuta faraja kwa channel za din iwe islam au kristo.
Sasa anatafuta faraja ya kazi gani badala afurahie kwamba Yuko karibu kurudi kwa muumba wake akafurahie milele na milele.
 
Mkuu

Hujaziona WRM,ARISE AND SHINE,HOPE CHANELS, UPENDO TV,EMMANUEL TV NA NYINGINE NYINGI!

NENDA OTHER CHANELLS KUNA HADI JEHOVA WITNESS BROADCASTING,HADI BETHEL TV!

USIMUONEE BABU WA WATU!

NAKUPA SIRI MOJA!

MZEE BAHKRESSA NDIO MUWEKEZAJI PEKEE BORA MWENYE ASILI YA ASIA AMBAYO TANZANIA IMEWAHI KUPATA!!SIDAHANI KAMA KUNA MWINGINE ZAID YA HUYU!

WENGINE WENGI JANJA JANJA NYINGI MKUU!!!

MIMI NAIOMBEA AZAM IJE IRUSHE EPL SIKU MOJA!TUTOKE KWENYE UTUMWA WA DSTV,YAANI NI BORA AZAM WAKAINGIA UBIA NA CANAL SPORTS TUKALIPA HATA 40000/=TUKACHEKI EPL HATA KWA KIFARANSA KULIKO UTOPOLO WA DSTV UNAOENDELEA!
 
Unakiponda kuwa kinachukiwa wakati takwimu zinaonyesha ina wateja zaidi ya mara 4 ya DSTV yani kinaifuata startimes
Usikurupuke kujibu comment yangu kindezi uwe unasoma ikiwezekana mshirikishe mumeo ndio mje na mawazo yenye nyama kuwasilisha hoja yako
 
Usikurupuke kujibu comment yangu kindezi uwe unasoma ikiwezekana mshirikishe mumeo ndio mje na mawazo yenye nyama kuwasilisha hoja yako
Kumbe umeolewa? Nilidhani wewe mjane
 
Back
Top Bottom