Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni.
Lakini pia hiyo tabia kuna watu wataacha kabisa kufuatilia mchezo wa ngumi. Sababu inaonekana kabisa mnamtengeneza Mandonga kwa kudhani mna upromote mchezo. Kumbe mnaua mchezo. Muulizeni Liquid.. yu wapi sasa? Watu watafikia hatua watadharau kila kitu.
Huu ni mchezo serious ufanyeni uwe serious please. Msilete maigizo kwenye mchezo wa ngumi. Si tayali mnazo tamthiliya nyingi tu? Zinatosha. Mchezo huu upeni heshima yake watu tutaupenda.