Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Lilikuwaje?Pambano la mandonga likikera na kuudhi vby mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lilikuwaje?Pambano la mandonga likikera na kuudhi vby mno.
Sijaona ulichoandika cha maana kujibu hoja zangu. Sababu huufahamu mchezo wa ngumi. Join date ya JF? Pole sana. We unaangalia ID hii? Ungejua....hata usingezungumzia hilo. Anyway sababu wewe ni maamuma let me leave you.Athari za ngum humpata bondia yoyote na mda wote regardless kacheza michezo mingapi,na kuhusu we kujitapa umeangalia ngum kabla cjazaliwa na hunifaham kunaonyesha jinsi ulivyo chizi na huna akili kama jina lako.angalia join date yako na yangu kwanza.
La kipuuzi sana... La hovyo la kimichongo mpaka limefutwa.Lilikuwaje?
Hii nchi jitambue wewe na uzao wako tu ila ukisema ufate trend mtapotea wote wewe na uzao wako pia , watu hawafanyi haya kwa bahati mbaya...............mwisho wa siku kunakua na kizazi cha mazombi wanaotawaliwa na watu wachacheJana hata sikuangalia hata sahivi sijui hata nani ameshinda unaweza usiamin lakin ndo ukweli
nchi hii Kuna masihara mengi sana wanaofanya mizaha ndo mashujaa najiuliza tunatengeneza kizazi kinachoamin kwenye ujanjaujanja ndo maana Leo Kuna panya road
Nchi hii utagundua wengi ni mandondocha au misukule.Hii nchi jitambue wewe na uzao wako tu ila ukisema ufate trend mtapotea wote wewe na uzao wako pia , watu hawafanyi haya kwa bahati mbaya...............mwisho wa siku kunakua na kizazi cha mazombi wanaotawaliwa na watu wachache