Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Azam wanahusika vipi? Wao ndio marefa?Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni.
Lakini pia hiyo tabia kuna watu wataacha kabisa kufuatilia mchezo wa ngumi. Sababu inaonekana kabisa mnamtengeneza Mandonga kwa kudhani mna upromote mchezo. Kumbe mnaua mchezo. Muulizeni Liquid.. yu wapi sasa? Watu watafikia hatua watadharau kila kitu.
Huu ni mchezo serious ufanyeni uwe serious please. Msilete maigizo kwenye mchezo wa ngumi. Si tayali mnazo tamthiliya nyingi tu? Zinatosha. Mchezo huu upeni heshima yake watu tutaupenda.
Naunga mkono bandiko lako ila haujalielekeza sehemu sahihi. Azam ni wadhamini na waandaaji lakini hawahusiki na maamuzi ya ulingoni. Lawama zielekezwe moja Kwa moja kwa referee wa mchezo.Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni.
Lakini pia hiyo tabia kuna watu wataacha kabisa kufuatilia mchezo wa ngumi. Sababu inaonekana kabisa mnamtengeneza Mandonga kwa kudhani mna upromote mchezo. Kumbe mnaua mchezo. Muulizeni Liquid.. yu wapi sasa? Watu watafikia hatua watadharau kila kitu.
Huu ni mchezo serious ufanyeni uwe serious please. Msilete maigizo kwenye mchezo wa ngumi. Si tayali mnazo tamthiliya nyingi tu? Zinatosha. Mchezo huu upeni heshima yake watu tutaupenda.
Wanaleta Upuuzi mwingi mpaka wanatukera sisi watu wazima tunaoufahamu huu mchezo. Na huyu Mandonga hajajua athari ambayo anaweza kuipata na hizo pesa asizifaidi. Wanajaribu kumjenga kipuuzi sana wamtumie kupiga pesa.Sure mi mwenyewe nimechukia unaletaje maigizo kwenye suala la afya, halafu tena mnalipa uzito wa mchezo wa mwisho kabla ya pambano kuu
Wanahusika. Mwamuzi anafanya kwa maelekezo. Lengo ni kumjenga Mandonga waendelee kumtumia kupata pesa. Huu mchezo unafanyuwa maigizo bob. Watu wa ndani wanaelezea kuwa sasa inakoeleka watauua huu mchezo na kuufanya uonekane ni comedy tu.Naunga mkono bandiko lako ila haujalielekeza sehemu sahihi. Azam ni wadhamini na waandaaji lakini hawahusiki na maamuzi ya ulingoni. Lawama zielekezwe moja Kwa moja kwa referee wa mchezo.
Azam hizi lawama haziwahusu...
Labda ungesema Wale commentators Wao ndo Walikuwa wanaboa Kwa Kupre empt matokeo..
Matokeo kabla hajatolewa Na Majaji wenyewe Tayari Washaanza Kusema Fulani Kadundwa...hawakuwa poa
Siyo wote maskini kimawazo kama wewe. Hao mabondia wote hakuna ambaye anafikia hata robo ya hali yangu ya kiuchumi. Na mimi ni mfanyakazi ninayetumia kalamu na computer tu. Sipigwi hata kibao. Muwe tayari kukosolewa. Huu mchezo msigeuze maigizo.Wabongo wivu umeanza
Ukosefu wa Elimu na akili. Wataharibu huu mchezo kwa kuleta mambo ya kipuuzi. Wanasiasa wa nini kwenye michezo?Wanaleta comedy katika mambo ya msingi...Pia wale wapiga porojo (Wana-sihasa ndani ya ulingo wapungue) , yule naibu waziri wa uwekezaji alijisahau kabisa akajua analihutubia bunge pale. Mbona wenzetu wazungu hawana porojo mingi.
Yaani yule supervisor wa mpambano alitamani kuwaambia kuwa waache porojo ili kupisha mtanange uanze ila alishindwa tu kwakuwa wale ni watu wa sirikaliUkosefu wa Elimu na akili. Wataharibu huu mchezo kwa kuleta mambo ya kipuuzi. Wanasiasa wa nini kwenye michezo?