Azam na Dhambi ya Fei Toto itakayowaandama

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.

Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!

Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
 
Wakati anaondoka Yanga kwa nyodo, Feisal Salum 'Feitoto' tulimuuliza kwa nini anatoka timu kubwa kwenda timu ndogo? Hakusikia.

Sasa ameanza kuona mwenyewe timu yake imetolewa na katimu kadogo ka ku Bahir Dar Kenema kutoka Ethiopia katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Safari yake kucheza michuano ya kimataifa kwa mwaka huu imeishia hapo.

Atacheza tu ligi ya hapa nyumbani na vitimu kama Mashujaa au Kitayotsce.

Nani atamuona huko nje? Unamshauri nini?

Ana gundu au ni ile hadithi ya mkataa pema pabaya panamwita?
 
Bahati mbaya na nzuri humpata yeyote.
 
Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.

Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!

Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
sasa katufunga midomo? au?
 
Tatizo la yanga kutaka kumiliki wachezaji milele wakati hawana hela
 
Back
Top Bottom