Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Great Mainds Discuss IdeasNamna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.
Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!
Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
Akinywee kikombe alicho kitayarisha mwenyewe.
By the way maslah kwanza. Kama timu aliyomo inamlipa vizuri zaidi ya timu ya awali acha akae sehemu anayo ona inamfaa
Acha ujinga wewe unataka kufanya Yanga ni timu ya baba yake. Acha apige hela. Mpira ni kazi yake.Msaliti daima hana mafanikio
Hakana uelewa?Hata sio elimu ni uelewa
Nmesema kama huna akili huwezi kujuaNi ngumu kujua ishara inamuhusu fulani......sitakuwa kuwa mnafiki..
Hasemwi kwakuwa ameondoka, anaswemwa namna alivyoondoka. Timu yenye malengo makubwa haiwezi kupokea mchezaji anaeondoka kwenye timu yake kwa style ile. Ndio maana hatushangai Azam kufurushwa CAF mapeeema!!!Hivi mtu akiiasi Yanga au Simba, hafai kuwa mchezaji tena kwa timu nyingine? Ukumbuke mwisho wa siku lazima atengeneze maisha yake ipasavyo.