Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti amewaziba mdogo akina Hersi kwa kufunga Ile penati, ukweli niliudhika sana kwa kitendo kile.Wakati anaondoka Yanga kwa nyodo, Feisal Salum 'Feitoto' tulimuuliza kwa nini anatoka timu kubwa kwenda timu ndogo? Hakusikia.
Sasa ameanza kuona mwenyewe timu yake imetolewa na katimu kadogo ka ku Bahir Dar Kenema kutoka Ethiopia katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Safari yake kucheza michuano ya kimataifa kwa mwaka huu imeishia hapo.
Atacheza tu ligi ya hapa nyumbani na vitimu kama Mashujaa au Kitayotsce.
Nani atamuona huko nje? Unamshauri nini?
Ana gundu au ni ile hadithi ya mkataa pema pabaya panamwita?
Sema fei anaongozwa na hisia zaidi kuliko akili.Eti amewaziba mdogo akina Hersi kwa kufunga Ile penati, ukweli niliudhika sana kwa kitendo kile.
Pesa ipi hiyo? angekuwa Yanga huenda Sasa hivi angekuwa na Nabi huko timu za mbele, angepata fweza nyingi kufuru. Sasa hebu ona kule aliko sasa unaelewa anachofinya? Hajaisaidia timu hata kidogo. Manungu TU Sasa imebaki,Akinywee kikombe alicho kitayarisha mwenyewe.
By the way maslah kwanza. Kama timu aliyomo inamlipa vizuri zaidi ya timu ya awali acha akae sehemu anayo ona inamfaa
Wageni ktk soka mnaanza kuja na nadharia zenuNamna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.
Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!
Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
Hatupi tabu sie, alipoondoka timu ilifunga kila timu. Mbona Mayelle kaondoka vizuri TU ingawa alikuwa muhimu sana kwenye timu kuliko yeye? Shida ni aina ya kuondoka kwake. Hakuna timu makini inasajili mchezaji anaehama klabu yake kama vile. Alivyoondoka dogo ni sawa na kutaka kupanga matokeo ya mechi.Wazee wa Nongwa....
Feisal anawapa taabu sana..
Tufunge bakuli kwa goli la penati.
Mbona Yanga Haina neno na wachezaji wengine waliondoka Yanga? Kuondoka kambini kihuni siku moja kabla ya mechi na Azam ni uwanamichezo? huko ni kupanga matokeo.Basi yangaTanga walivyokosa ngao ya jamii itakuwa laana ya feitoto au wakitolewa na El merekh na kukosa ubingwa itakuwa laana ya Feitoto.
Mpira ni sehemu ya kujenga upendo Ila utopolo wengi mnafanya sehemu ya kutengeneza chuki
Morrison siku zote mlikuwa mnamuombea mabaya alipoenda Simba Ila aliporudi yanga mlishangilia, Ajib pamoja na kwamba mlimchukua Simba akiwa huru, alipoamua kurudi Simba mlikuwa mkimwombea mabaya, Gadiel Michael, Kakolanya orodha ni ndefu mno.Mbona Yanga Haina neno na wachezaji wengine waliondoka Yanga? Kuondoka kambini kihuni siku moja kabla ya mechi na Azam ni uwanamichezo? huko ni kupanga matokeo.
Morrison hasira nyingi zilielekezwa zaidi kwa TFF na kidogo sana kwa uongozi wa timu na kiiidogo kabisa kwa Morrison.Morrison siku zote mlikuwa mnamuombea mabaya alipoenda Simba Ila aliporudi yanga mlishangilia, Ajib pamoja na kwamba mlimchukua Simba akiwa huru, alipoamua kurudi Simba mlikuwa mkimwombea mabaya, Gadiel Michael, Kakolanya orodha ni ndefu mno.
Tatizo nini? Labda walisema hafungi tena?Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.
Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!
Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
Kwamba Azam walikua wanaenda makundi kimataifa ila baada ya kumleta Feisal ndio laana ikaja wakaishia raund ya kwanza?Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.
Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!
Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
Kwani hakuna wachezaji walioondoka vizuri na wakafeli huko walikoenda?Hatupi tabu sie, alipoondoka timu ilifunga kila timu. Mbona Mayelle kaondoka vizuri TU ingawa alikuwa muhimu sana kwenye timu kuliko yeye? Shida ni aina ya kuondoka kwake. Hakuna timu makini inasajili mchezaji anaehama klabu yake kama vile. Alivyoondoka dogo ni sawa na kutaka kupanga matokeo ya mechi.
Haruna mlichoma mpaka Jezi ila alicheza kwa mafanikio Simba na akaifikisha robo fainali CLNamna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.
Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!
Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.