spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Fanyeni kama umeachana na demu
Unamfuta mazima
hizi za kuona atafanyaje sio sportsmanship
Unamfuta mazima
hizi za kuona atafanyaje sio sportsmanship
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo acheze mpira mambo ya kupambana na mashabiki atapotea ile ishara ilikua message kwa Yanga bahati mbaya ime backfireSema ile ishara nimewaza kamaanisha nn anyway kama alitarget wanayanga bas dogo plagi hazichomi
Ulijuaje kama amawaziba midomo wao?........Kama ni watu wengine....tuache tabia ya kutunga uongo.Eti amewaziba mdogo akina Hersi kwa kufunga Ile penati, ukweli niliudhika sana kwa kitendo kile.
Bas bado ana uswahili mwingiDogo acheze mpira mambo ya kupambana na mashabiki atapotea ile ishara ilikua message kwa Yanga bahati mbaya ime backfire
Kipaji bila elimu ni janga! Dogo hajitambui!Dogo ilibidi afocous kwenye football aache kupambana na mashabiki mbona Okwi ,Niyonzima walitulia wakawa wanapiga kazi tu ...
Hii dhambi itawatafuna na kumtafuna Feitoto sanaaaa!Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.
Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!
Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
Unataka kusema PSG iliwachukua hao uliowataja kihuni kwa msaada wa Rais wa nchi Yao Shirac, Sakoz au Macron?Kwamba Azam walikua wanaenda makundi kimataifa ila baada ya kumleta Feisal ndio laana ikaja wakaishia raund ya kwanza?
PSG walileta Neymar, mbappe wakawaleta Messi na Ramos ili washinde CL lakini wakashindwa itakua Azam kwa Feitoto
Ishu ni kujenga mentality tuu
Tatizo ni kusema kuwa kutolewa kwa Azam ni laana ya kumchukua Fei kihuni, wakati hata kabla ya kumchukua Fei walikua wanatolewa tuuUnataka kusema PSG iliwachukua hao uliowataja kihuni kwa msaada wa Rais wa nchi Yao Shirac, Sakoz au Macron?
Hebu ona, kulikuwa na sababu gani ya kumuacha Fei Toto acheze dk 90 wakati Hana anachofanya uwanjani? Hivi Fei alikuwa Bora kuliko wachezaji wengine walioko kwenye bench?
Hajafeli, mnavotabiri atafeli kisa kaondoka kihuni ndio nawauliza hakuna walioondoka vizuri na wakafeliKwahiyo unakubali Fei amefeli? Kwanini hakufanyiwa sub akaachwa acheze 90' au walikuwa wamejiandaa kwa upigaji wa penati?
Azam ni timu ndogo, vibe la Azam sio kama Yanga, hivo hata yeye mpaka anachukua maamuzi hayo alikua anafahamuNi ukweli uliowazi dogo amepata mafanikio kwenye upnde wa kipato kwa kusajiliwa na hao Azam. Ila linapokuja suala la furaha na amani, hilo asahau akiwa na timu kama hiyo.
Furaha aliicha Yanga alikokuwa akishindia ugali na sukari.
Sasa hata hizi za kusema laana ni bangi pia kutokana na mahaba mliyokua nayo kwa FeiHatuna aliondoka vizuri TU, ila zile zilikuwa bangi TU za mashabiki wa Yanga kutokana na mahaba Yao kwake.
Sio, angekuwa anafahamu angesubiri uhamisho wa kawaida TU kama walivyofanya akina Mayelle, Ajibu, Niyonzima, nk. Yeye aliondoka kama njia ya kuihujumu Yanga, hasa kwenye mechi ya marudiano dhidi ya Azam.Azam ni timu ndogo, vibe la Azam sio kama Yanga, hivo hata yeye mpaka anachukua maamuzi hayo alikua anafahamu