Azam na Dhambi ya Fei Toto itakayowaandama

Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.

Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!

Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
Fei alifeli vibaya sana.
 
Ulijuaje kama amawaziba midomo wao?........Kama ni watu wengine....tuache tabia ya kutunga uongo.
Watu gani wengine wanaostahili kufunga mabakuli Yao dhidi yake, viongozi wa Azam?, Kineema? Ibwe? Zakazakazi? Bench lake la ufundi au nani? Tell us bro!!! Dogo hana nidhamu nakwambia. Hata Rais mwenyewe kama nae aliiangalia mechi lazima atamuonya kwa kitendo kile
 
Ww SI unamuona mama yake, uwashili mwingi na ndio jadi Yao
Hata mawakala na wanasheria wake siuliwaona walivyo? Walishindwa kesi wakakibilia busara, na busara iliposhindwa wakakimbilia uzawa, uzawa ulivyoshindwa wakarudisha mpira kwa Mama.
 
Ataenda kucheza dhidi ya majimaji FC ya Songea
Na Namungo za Mtwara.
 
Tatizo ni la azam tatizo sio kuondoka yanga,kwenye hili huna umhimu
 
Akinywee kikombe alicho kitayarisha mwenyewe.

By the way maslah kwanza. Kama timu aliyomo inamlipa vizuri zaidi ya timu ya awali acha akae sehemu anayo ona inamfaa
Kama issue ingekuwa fedha TU basi Chama na Miquison wasingerudi Simba tena. Kuna mstari mnene sana unaotenganisha pesa na furaha
 
Alikuwa anawaziba midomo wanaomzomea pale uwanjani...na sio Viongozi...
 
Alikuwa anawaziba midomo wanaomzomea pale uwanjani...na sio Viongozi...
Nani alikuwa anamzomea? Kama anacheza vizuri na kuisaidiia timu kwanini azomewe? Mfano, nani angemzomea kama angekuwa anacheza kama Maxi Nzengeli au chemalon au Ngoma au Kibabage au Mzamiru? Dawa halisi ya kuwaziba watu midomo ni kutia juhudi uwanjani kuisaidiia timu yako, sio vinginevyo.
 
Kuna watu walikuwa kweli wanamzomea kila akishika mpira, si unajua dogo akuondoka vizuri Jangwani?.....watu bado wana chuki naye.
 
Alifuata mpunga
Tz hakuna mpunga, mpunga mwingi uko waliko akina Samata, msuva, Mayelle, nk angeendelea kukiwasha Yanga kwenye mechi za CAF Leo hii angeogelea kwenye mpunga. Hata Azam wataanza kujuta kumfahamu.
 
Akinywee kikombe alicho kitayarisha mwenyewe.

By the way maslah kwanza. Kama timu aliyomo inamlipa vizuri zaidi ya timu ya awali acha akae sehemu anayo ona inamfaa
Maslahi kwanza lakini kibinadamu akutakiwa kuondoka vile,kijana alikosa adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…