Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.
Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.
Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani. Azam tumewachoka.